Mlio karibu ya Diamond, hii misanamu inamaanisha nini?

roadmaster

JF-Expert Member
Mar 21, 2023
1,484
2,572
Jana usiku siku ya jumamosi tarehe 9 mwezi wa Septemba nikiwa na rimoti natafuta chanel ya kuniburudisha nikajikuta najaribu kuangalia WASAFI TV nikaona wasanii wa bongo flava wakiwa Ruangwa.

Alipopanda jukwaani diamond nikiona mafuvu (skeleton) ya bandia yamezunguka jukwaani. Sijajua anamaanisha nini.

Hebu mlio karibu nijuzeni!
20230910_145225.jpg
 
Mm ningekuwa msanii ningenunua macheni na manguo yenye chata za freemason ndo vitu vya kijinga vinafanya wabongo wakujadili
Na ndio anachokifanya Huyo msanii Maarufu zaidi wa Tanzania,,na anawajua vizuri Wabongo hapo lazima attend yeye pamoja na vitega uchumi anavyomiliki vya kisosho media na ndio na pesa inachuruzika pia kwenye maakaunti yake,,town akili Tu unatafuna hela za wajinga baadhi
 
Back
Top Bottom