Nini maana ya "ana nne,yuko juu ya nne.Anangoja nne"

Mimi mwenyewe ameniuliza mtu,sielewi kabisa. Kama kuna mtu mwenye jibu tofauti ambalo ni sahihi,aliweke!
 
Jamani humu hakuna hata waalimu? Hili swali lilitoka kwenye mtihani wa mock std 7 mwaka 2008 mkoa wa kilimanjaro.
 
Da! Amaa kweli lugha ya Kiswahili ni ngumu! Kama vp tuwatafute walimu wa mkoa wa Kilimanjaro wasaidie kujibu hili swali.
 
Msafiri ondoa shaka,
hiko ni kitendawili kinachopatikana ndani ya riwaya moja hv,(bht mbaya nimeisahau jina)
inasema hv:
Miguu minne yuko juu ya miguu minne,anamsubiri miguu minne aje kumla.
Na jibu la kitendawili hiko ni
Paka yuko juu ya meza,anamsubiria panya aje kumla.
Sawa mkuu?
 
Msafiri ondoa shaka,
hiko ni kitendawili kinachopatikana ndani ya riwaya moja hv,(bht mbaya nimeisahau jina)
inasema hv:
Miguu minne yuko juu ya miguu minne,anamsubiri miguu minne aje kumla.
Na jibu la kitendawili hiko ni
Paka yuko juu ya meza,anamsubiria panya aje kumla
.
Sawa mkuu?
.
Msafiri Kasian
 
Back
Top Bottom