Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Wanabodi salaam

Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano.

Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao?

Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
 
Subiri kidogo.. yatatangazwa pamoja na ya Form 2 next week
 
Wanabodi salaam

Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano.

Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao?

Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
Kuna kitu tunaajasti
 
January Hii Watatangaza Matokeo Hayo Pia Tunangoja Matokeo Mengi
Darasa La Nne, Kidato Cha Pili, Kidato Cha Nne

Tuvute Subira
 
January Hii Watatangaza Matokeo Hayo Pia Tunangoja Matokeo Mengi
Darasa La Nne, Kidato Cha Pili, Kidato Cha Nne

Tuvute Subira
Walioenda kusahihisha mitihani wamekula sikukuu zote huko.

Kunani kwani?
 
Fanya TU maandalizi sitaki kuamini kuwa humuamini kijana wako kiasi Cha kuhofia mtihani wa upimaji darasa la nne lakini pia hata kama atafail bado mahitaji kwa darasa la nne na la Tano yanafanana ni
1.Sare nzuri za shule
2.Madaftari ya kutosha
3.Hela ya nauli na majaribio
4.Hela ya kula
5.kidumu Cha maji
6.Mfagio mdogo wa kawaida
7.kichongeo,ufuto,Kalam n.k
Hongera kwa kukuza
 
Darasa la nne wanatoa lini?

Mtoto wa kala yangu kahitimu darasa la nne, tunataka kujua kama kafaulu au la
Mkuu angalia matokeo yake ya mtihani wa mwezi wa Sita yatakupa picha ila la nne kufaulu huwa ni rahisi sana japo kwa Sasa hata la saba ni rahisi maana walimu wanafundisha sana
 
Tangazo hili
IMG-20240106-WA0043.jpg
 
Back
Top Bottom