mkeo hajawahi tumia dawa za kuzuia mimba? muulize maana dawa za kuzuia mimba zinaharibu sana hormone ndani ya mwili na kusababisha baadhi ya vichocheo kutofanya kazi vizuri
Kama ni mumekwenda kwa Ma Doctors Specialist na tatizo halionekani basi itakuwa ni mambo ya Kiswahili, Atakuwa na pepo mchafu au kafanyiwa mambo ya Kiswahili (Uchawi) inapokuwa hiyo Damu ya hedhi inapomtoka anakuwa anaumwa sana na tumbo na kichwa pia kina muuma na moyo wake kwenda mbio?jaribu kumuuliza. Mupo wapi nyie? Maelezo zaidi nitumie email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) Nitakuambia kitu gani cha kufanya.. nachid
Amewahi tumia sindano
Nenda hospitali ya Wasabato inatazamana na Hindu mandal hospital.
unatumia dawa za uzazi wa mpango?
kuna ugonjwa una msumbua?
Acha kuzuga, jirani jirani. Kama umetembea na mume wa mtu kaombe radhi[/
Hapo kwenye REd unamaanisha.......................
acha kuzuga, jirani jirani. Kama umetembea na mume wa mtu kaombe radhi