Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

suzzie..worry not..tatizo lako limekwisha..unahitaji kumwona gyno...ndiooo..hilo si tatizo la kumwona daktari wa masuala ya kina mama....nenda moroco kuna hospital ya dr. massawe bingwa wa watoto muhimbili....mke wa dr. massawe anaitwa dr. ceriel (sirieli) massawe ni bonge la gyno...anaingia mida ya jioni kuanzia saa 11 jioni..kaweke appointment mapema muone akusaidie....natumai sasa utapata ahueni.

Dr:

GF wangu amekuwa akitumia vidonge vya majira kwa miaka karibu mitatu na baadaye aliamua kuacha ili tupate mtoto; lakini cha kushanganza huu ni mwezi wa 3 amekuwa akipata hedhi yake mara kwa mara na inafikai wakati kabla ya kupatwa hedhi anaumwa na tumbo mfululizo. Anzapoa kupata hedhi anatokwa na damu kama kawaida lakini baada ya siku ya 7 zinakuwa ziantoka kidogo kidogo mpaka karinu siku ya 15 inapokaktika anaweza kukaa siku kumi tu tena anaaanza mzunguko mpya!

Ime kuwa kero na wasi wasi kwetu kwni hatutaki arudi vidonge iliku kudhibiti hedhi irudie kawaida yake. Je tufanyeje?

Poleni sana.
Kawaida inatakiwa mwanamke upimwe kwanza ili kujua aina za vidonge vya kutumia vitakavyo kubaliana na mwili wako.
Kwa sasa nawashauri nendeni mkamwone gyno,kwa ushauri na matibabu kama yapo.
Poleni tena!

Dr:

GF wangu amekuwa akitumia vidonge vya majira kwa miaka karibu mitatu na baadaye aliamua kuacha ili tupate mtoto; lakini cha kushanganza huu ni mwezi wa 3 amekuwa akipata hedhi yake mara kwa mara na inafikai wakati kabla ya kupatwa hedhi anaumwa na tumbo mfululizo. Anzapoa kupata hedhi anatokwa na damu kama kawaida lakini baada ya siku ya 7 zinakuwa ziantoka kidogo kidogo mpaka karinu siku ya 15 inapokaktika anaweza kukaa siku kumi tu tena anaaanza mzunguko mpya!

Ime kuwa kero na wasi wasi kwetu kwni hatutaki arudi vidonge iliku kudhibiti hedhi irudie kawaida yake. Je tufanyeje?
mweeeeeeeeh, pole sana! inabidi umwombe Mungu amponye.....nakushauri acheni kutumia hivyo vidonge....Bwana awe nanyi daima....

Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo bleed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili bleed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo breed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili breed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

Bleed or Breed????????????????????????????????????????? Unatuchanganya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo breed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili breed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

Hiyo "breeding" imekupelekea kuwa na watoto wangapi?? Anywayz go see a doc.

Anamaanisha ku-'bleed', tuwe na huruma. Pole dada mpenzi. Nakushauri umwone daktari haraka. Mungu akusaidie, kitendo cha kutokwa na damu nyingi si kizuri.

Kama hujamwona basi fanya hima.

Pole binti Ashura...unapokuwa na ujauzito, mfumo wa mwili wa hormones za kike unabadilika kabisa. Na baada ya kujifungua, inachukua muda kurudi katika hali yake ya kawaida, wengine wanaanza kubleed miezi michache baada ya kujifungua, na wengine wanafika mpaka mwaka mzima. Na unapoanza tena kubleed baada ya kujifungua, siku zako zinakuwa hovyo hovyo...hazitabiriki (na hapo ndio inakuja hatari ya wanawake kupata tena mimba muda mfupi baada ya kujifungua, kuwa makini). Na hata flow (kiasi cha damu kinachotoka na kwa siku ngapi) inakuwa pia haijatulia na haieleweki. Hii ni normal.

Baada ya muda mzunguko wako wa mwezi utastabilize tu usihofu. Lakini kama ukiona unatoa kiasi kikubwa sana cha damu kinachoamabatana na mabonge na maumivu, muone daktari akuchunguze vizuri.

Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo breed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili breed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

Kwa maelezo yako una-bleed na si ku-breed! Anyway Doctors please help her!

Pole sana binti Ashura, maelezo ya Riwa ni mazuri na pia tafadhali nenda kamuone gyno wako kwa msaada zaidi wa kitaalam.

Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo bleed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili bleed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.

naomba kuwasilisha

pole dear its normal

Hilo ni tatizo dogo dada japo mimi na mwanaume naamini nitakusaidia hebu ni PM mama!

We bwana mdogo! Umeanza mambo yako? Tangu lini ukawa na Exprence ya wamama? We weka mambo hadharani Dogo wengine wanaweza kupona kw ushauri.

ushauri wa Dr. Riwa ni mzuri lakini jitahidi sana kama damu inazidi nenda ukafanye uchunguzi maana unaweza kuta kunantatizo lingine

inabidi tufanye interview personal kabla sijakushauri chochote, kwanza vip una pata maumivu kipindi cha hedhi_?, na unatumia au ulisha wahi kutumia anticonceptives, dawa za kuzuia mimba_?....its okay kama utapenda kujibu kwenye thread poa au kama in private poa...baada ya hapo ntaweza kukushauri vizuri

kuna maada ilishawahi kujadiliwa kama hii.itafute utaipata kwa msaada zaidi.mia

Back
Top Bottom