Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?

Mwonyeshe yuko peke yake moyoni mwako au kimapenzi hata kama unamdanganya.
Ujue jinsi ya kumridhisha kimapenzi haswaaa
Appreciate vitu vizuri anavyofanya,kama kapendeza kimavazi msifie nk.
Uwe msikivu anapokuambia kitu yani uonyeshe kujali hata kama unamwona anapenda kulalamika.
NB: Sidhani kama kuna kanuni moja kwa wanawake wote,utakayekutana nae kimapenzi na kumjua vizuri ni rahisi kujua umfanyie nini afurahi.
Inabidi wote kufuata hizi appreciation lakini siyo mmoja tuu anafanya.....if you want things to work out for both of you and both to be happy ni communication...put ont he table this is what i like and this what idislike mkifuata hivyo vyote you all will live happy ever after...lakini kama mmoja anaweka kichwa ngumu itakuwa really hard kwa kweli na mwingine ata end up kuumia kila siku...(usikivu)..
Duh...
if its about sex..
I dissagree...siyo sex peke yake ndiyo inawezai kumfanya mtu akawa happy in relationship only...Remember what if (s)...
Talk/listen to each other,understand one another....and do different stuff besides sex and stay home and cook...go out have funny......make jokes!

Oooh yaaah shem wangu, sex is always overrated .....sijui kwanini...theres a lot of funny without it....kuimbiana mashairi.....kupika, utani, mazoezi pamoja you mention all ....
arrrrg shem unaharibu sasa.....Oooh yaaah shem wangu, sex is always overrated .....sijui kwanini...theres a lot of funny without it....kuimbiana mashairi.....kupika, utani, mazoezi pamoja you mention all ....
arrrrg shem unaharibu sasa.....
Ni yaleyale ya kudandia treni kwa mbele... na zikiwa za india ni sooo zaidi
Pole shem wa k01