NEBASA
Member
- Feb 17, 2024
- 15
- 17
Jamani ndugu zangu kuna muda mambo yanakuwa hayaendi vizuri kiasi kwamba unawaza unafika mbali sana! Labda nyota yangu imeharibiwa wakati huo huo hujui nyota ni nini na kuna mambo gani haswa yana mkuta mtu ambae nyota yake imeharibiwa? Au ni mambo ya kiimani tuu!! Na je kama ni uhalisia nini kifanyike ili kuweka mambo sawa?
Sidhani kama ni Mungu anafanya tuteseke kiasi hiki Mungu anasema yeye ni Mungu wa huruma kuna muda unawaza au nimemuuzi sana Mungu ukijifanyia tathimini unaona hapana ni kawaida kama ni dhambi unazo za kawaida tuu ambazo hata wengine wanao fanikiwa kuliko wewe wanafanya na muda mwingine ni kama wamekuzidi hivi sasa kwa nn mambo yanakuwa magumu hivi?
Nahitaji mitazamo yenu kidogo waja