Nini kifanyike ili demu awe furahani ?

as usual, we tend to be smarter than smart!!! i had three ifs, one wa sbout sex, another was about security and the last was bout love

LOL

keep smarting

I am not trying to be smart than anybody but i am just saying....you got pint yeah but what am tyring to say ni kwamba its not about sex only...

keep on contributing MTM!...
 
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?

...m-treat g'friend wako kama mkeo 'kipenzi', au endelea kum-spoil mkeo kama g'friend wako!
 
Kwanza naomba mtumumie jina zuri,neno demu halina heshima mbele ya jamaii. Kitu cha muhimu kataika mapenzi ni kuelewana,ikiwa ni pamoja na kufahamiana, uongo haujengi hata cku moja.Naomba hapa tuelewane maana kumdanganya mwenzio utanunua gari wakati huwezo una hilo cyo penzi,ina maana anlitaka gari c mnunua gari? Mikakati na misingi mnayooiishi ndo itamfanya ajisikie vyema na kukuamini.Na hii itapelekea furaha katika mahusiano yenu. Kuwa muwazi,ucje ukaenda kuopa eti kwa kuwa umeombwa hela fulani,au unaenda outing.Ni vyema mkafahamiana vyema na hii itawasidia saana katika maamuzi yenu. Mpende na umjali najua hata yeye atakutreat hivyo.Wanawake wanpenda kuona unajali.c mpaka vitu vikubwa wala hela,hii ni kumpa muda wa kutosha kuongea,kutembelea sehemu tofauti na za nyimbani,na mambo mengine !!!
 
Mwonyeshe yuko peke yake moyoni mwako au kimapenzi hata kama unamdanganya.

Ujue jinsi ya kumridhisha kimapenzi haswaaa

Appreciate vitu vizuri anavyofanya,kama kapendeza kimavazi msifie nk.

Uwe msikivu anapokuambia kitu yani uonyeshe kujali hata kama unamwona anapenda kulalamika.

NB: Sidhani kama kuna kanuni moja kwa wanawake wote,utakayekutana nae kimapenzi na kumjua vizuri ni rahisi kujua umfanyie nini afurahi.

Jamani Belinda umenikuna sana na maelezo yako ni kweli kabisa hakuna mwanamke asiependa kufanyiwa hayo mie mwenyewe mmoja wao Aluuuuuu hapo sawa kabisaaa!!!!!!!!!!
 
Yaani suluhisho niliolipata kuwa wanawake wapenzi ni jamii ya kudanganywa tu ,yaani inawezekana kabisa hata akikusitukia kuwa unamdanganya atazidi kufurahia tu uongo wako :D

Kuna jamii hii ya wachaga eti kama mwanamke wa kIchaga hujampiga basi huwa anakuchukia na eti humpendi kabi kabisa.
Na anaweza kukushangaa kwa nini huwa humzuii au humkatazi kitu na hapo anaweza kukupiga buti kwa kuwa umemzarau ,bado natafuta la kuwafurahisha ili wasielewe vinginevyo zaidi ya kuwa anapendwa tu na kuwa mwenye kufurahia.

Nimepata kusikia kuwa wanawake wakisambaa na wadigo wao ni ngumi mtu ,na wakati wa kuelekea kwenye tendo la ndoa basi kunakuwa na ugonvi wa kusitua wapita njia ,viti gilasi hurushwa inakuwa lazima mfukuzane ndani ,mwanamke mmoja alimpiga mumewe kichwa na kumkata mdomo ,ndio ukaona wasambaa wengi huwa wamekatika midomo.
Sababu ya kuelezwa niliulizia mbona wasambaa wengi pale Tanga sokoni wamekatika midomo pande mbili,ndio nikaelezwa.
Eti ndio furaha ya wake zao kupigana na waume zao,bila ya hivyo wandai talaka.
 
Uongo saaaana!na uwe na kumbukumbu kukumbuka ulichosema jana,juzi na juzi ileeee!hapo mwanamke full kufurahi.na usiwe unawaambia sana watu siri zako.Amini hisia zako.
 
Yaani suluhisho niliolipata kuwa wanawake wapenzi ni jamii ya kudanganywa tu ,yaani inawezekana kabisa hata akikusitukia kuwa unamdanganya atazidi kufurahia tu uongo wako :D

Kuna jamii hii ya wachaga eti kama mwanamke wa kIchaga hujampiga basi huwa anakuchukia na eti humpendi kabi kabisa.
Na anaweza kukushangaa kwa nini huwa humzuii au humkatazi kitu na hapo anaweza kukupiga buti kwa kuwa umemzarau ,bado natafuta la kuwafurahisha ili wasielewe vinginevyo zaidi ya kuwa anapendwa tu na kuwa mwenye kufurahia.

Nimepata kusikia kuwa wanawake wakisambaa na wadigo wao ni ngumi mtu ,na wakati wa kuelekea kwenye tendo la ndoa basi kunakuwa na ugonvi wa kusitua wapita njia ,viti gilasi hurushwa inakuwa lazima mfukuzane ndani ,mwanamke mmoja alimpiga mumewe kichwa na kumkata mdomo ,ndio ukaona wasambaa wengi huwa wamekatika midomo.
Sababu ya kuelezwa niliulizia mbona wasambaa wengi pale Tanga sokoni wamekatika midomo pande mbili,ndio nikaelezwa.
Eti ndio furaha ya wake zao kupigana na waume zao,bila ya hivyo wandai talaka.

ni wachaga wa wapi hao wewe? haaa kuanzia nikue sijaona hiyo kitu uchagani kwetu.
 
Kuhani na wenzako wanaharakati wa TGNP mnakubaliana na hili jina DEMU?

Yo Yo .

Dame is an English word describing a woman with a certain rank. In Britain it is a title of a woman who has been given a honour equal to that of a Knight.

Eg Dame YoYo is a famous writer
. Sory if you are not a woman.

Infact hao wa TNG na Kuhani wangependa kweli title hii badala ya nyingine yoyote . upo hapo?

Ukitaka kumfanya demu wako afurahi kila siku unaweza. Tatizo ni kwamba wako too complicated like cricket? Have you ever tried play cricket?

Ukimfurahisha kwa hili atachukia kwa lile, au atataka uongeze hili na mengineo mengi. Mwisho atakuambia hata kazini usiende ili aendelee kufarahi na kuhakikisha hakuna demu mwingine atakayefurahishwa nawe kama yeye. Ukifuata poa . Utamfurahisha.
 
Last edited:

Hilo nilililolikozesha hapo juu liminifika.ila ulipofika mwisho wa mwezi hakuona hela yangu ,ikabidi aniulize nikamjibu ile siku nilimisi kazi wamenikata mwezi mzima ,basi aliwatukana kampuni nzima ,nikafikiria yamekwisha akazua jipya niache kazi nitafute nyingine ,nikamsikiliza lakini kazi sijapata ,sasa ananung'unika eti mvivu.
 
...:D nature inatufundisha hivi...

---Quote---
Women exposed to their partner's semen during sex may find
themselves feeling happier than those who use a condom, say
scientists.
Scientists in the US believe the mood-altering hormones in semen
absorbed through the vagina help to boost women's mood.

Semen contains a range of hormones, including testosterone and
oestrogen, both of which have been shown to improve mood. BBC NEWS
| Health | Semen 'makes women happy'
(BBC NEWS | Health | Semen 'makes women happy')
 
hilo nilililolikozesha hapo juu liminifika.ila ulipofika mwisho wa mwezi hakuona hela yangu ,ikabidi aniulize nikamjibu ile siku nilimisi kazi wamenikata mwezi mzima ,basi aliwatukana kampuni nzima ,nikafikiria yamekwisha akazua jipya niache kazi nitafute nyingine ,nikamsikiliza lakini kazi sijapata ,sasa ananung'unika eti mvivu.

lol! Hiyo kiboko
 
Wakuu,
To me si lazima umfurahishe mpenzi/mke/demu all the time. If that is the case life isingekuwa interesting the way it is.
My stand is whatever comes you deal with it kama ni kugombana gombana kweli kweli then you become ready to accept any conclusion. In fact this thing ya kufurahisha lazima iwe both ways.... so to me it does not matter, whatever comes in i will deal with it lakini PRETENDING siwezi.

I like to live the real life. Wako wanawake wanaopenda reality and mnaishi tu vizuri. Othewise mambo ya sweet talk ndo hayo yanaleta a lot of probles in the future. I think being realistic and original to each other counts a lot. Labda kama unataka tu ku hit and run ndo utaanza ngonjera nyingi.
 
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
...Awe na furaha wakati wote ye nani?? Bill Gate mwenyewe hana furaha wakati wote!!!!Mambo ya kufikirika tu hayo....
 
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
unapokuwa kifuani, mtukane hawara yako wa zamani!
 
Back
Top Bottom