Nini kifanyike ili demu awe furahani ?

Asifuye mvuwa imenyeshea jee vipi yalikukuta .unapo lizungumzia wanawake wa TANZANIA pia ubahatike tu tunayashuhudia mengi lakini kwa leo funika kombe mwanaharamu apite ina yumkini kuna mengi huyaoni kwani wanawake wa TANZANIA wa leo sio wa juzi ukiyaona au kusimuliwa yanayotendeka basi ungesema bora ya musa kulikoya firauni hapo namainisha bora hao wamarekani weusi unaowao wewe kuwa ndio wabaya kitabia kuliko mwamke anaiga kwa nguvu zake zote ili mradi tu nae awe kama mamrekani kuna siri kubwa kaka ndani ni vyema uwe huzijuwi

Asifiaye mvua imemnyeshea jee vipi yalikukuta nini kaka hahaha,usijidanganye hata kidogo babu hao wanaoiga hawawafikii hata kidogo hawa ni proffessional usije ukatoka huko ukakimbilia hapa mjomba bora uhame kikao tu lakini ubakie hukohuko minazi mirefu huku hakufai hata chembe.

SAHIBA.
 
Back
Top Bottom