Nini hatma ya miradi ya Chato?

Nimenukuu Kama Ifuatavyo👇Na naulizia mchakato umefikia wapi kwa anayejua

UWANJA WA SOKA WA KISASA KUJENGWA CHATO.
Serikali itajenga Uwanja wa soka wa kisasa katika eneo la Chato na utajulikana kama Chato Stadium.

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema Uwanja huo utakuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kalemani amesema Uwanja huo utatumika kwa ajili ya kuvutia watalii na wawekezaji katika masuala ya utalii.

Waziri Kalemani amesema Uwanja huo utaanza kujengwa hivi karibuni.
 
Chato ni sehemu ya Tanzania pia na inahitaji maendeleo kama ilivyo sehemu yoyote ile nashangaa hospitali kubwa kuwekwa Chato inakuwa gumzo . Vitu vingine tujaribu kuwa positive
 
Back
Top Bottom