ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,097
- 49,795
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato
2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato
3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi la Udsm
3. Mradi wa Tawi la Chuo Cha Fedha na Mipango Chato
4. Mradi wa Hoteli ya Nyota 3 Chato
5. Mradi wa Kuunda Hifadhi Mpya ya Taifa Burigi Chato
5. Mradi wa Hospitali ya Kanda Chato
6. Mradi wa Standi Kuu ya Hadhi ya Kanda Chato
7. Mradi wa Soko la Samaki la Kanda Chato
8. Mradi wa Barabara ya lami Chato
9. Mradi wa Gati la Nyamirembe Chato
10. Mradi wa Shule Maalumu ya Mkoa Chato
11. Mradi wa Majengo ya Makazi ya Watumishi NHC Chato.
12.Mradi wa Chuo Kikuu Huria Tawi la Chato.
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa kati ya maelfu ya miradi ambayo bwana yule alijipendelea kwenye Kijiji chake Kwa kutumia Rasilimali za Nchi Kuleta upendeleo wa kimaeneo kinyume na kiapo chake.
My Take
Wakati mwingine tuwe tunachunguza rekodi za watu (vetting) kabla ya kuwafanya viongozi wa Nchi maana wanaweza kuja kuleta taharuki kubwa.
View: https://www.instagram.com/p/Cz_Xq2RN0dL/?igsh=YW9pdTMzbTZ0ajVi