kujiuzulu tu haitoshi kama ni kweli, jamani ashtakiwe,ingawa serikali imewakumbatia mafisadi wengi tuKaachia au kafukuzwa, hukumsikia Pinda jana?
kujiuzulu tu haitoshi kama ni kweli, jamani ashtakiwe,ingawa serikali imewakumbatia mafisadi wengi tuKaachia au kafukuzwa, hukumsikia Pinda jana?
hivi huyu mtu yupo ?Nitamshangaa sana Hosea atakaposema Ushahidi hana.....Manake nayeye huwa ana matatizo makubwa ktk ubongo wake.....Vitu vilivyo wazi anasema ushahidi hana.
Kaachia au kafukuzwa, hukumsikia Pinda jana?
wa kwanza alikuwa anatakiwa kujiuzuru ngeleja na msaidizi wake...Jairo anatekeleza maagizo ya mabosi wake...wasitake kumfanya mbuzi wa kafara hapa
ni kweliHe has just saved JK kufanya uamuzi mgumu kama ni kweli kajiuzulu!
toboa ilo tumbo haposource please,
btw,kafukuzwa, kaachishwa ama kajiuzulu..afu mahakamani inakuwaje sasa? ama anazawadiwa benki ya wakulima?
MICHUZI: JUST IN: KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI david jairo Ajiuzuru
kama RA na yeye kasema Aksanteni na Kwaherini!