Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,566
Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Serikali ya kuibua, kuendeleza na kutekeleza vyanzo mbalimbali vya umeme ili kuondokana na utegemezi wa maji na gesi asilia kuzalisha umeme.