Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles).

2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani?

3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye imani kwa sababu imani haina kipimo/kiwango standard cha kitaaluma. Kila mwenye imani yake anadai yuko sahihi kwa mujibu wa anavyoamini; Mugasha kya Nyatenda, Kimuli, Kashasila et la zote hizo ni imani sawa ukristo au uislam na vipande vyazo.

4. Hoja yako imejengwa kwenye kuamini (metaphysics) siyo kujua (science & dialects) Serikali itatunataka kwenda na dialects!

5. Imani ni pamoja na uchawi, kwa nini na huo usiwekewe combination ya historia na literature, kwa mfano?

6. Tusiogope kuimbia Serikali ukweli kuwa imeboronga. Inachotamani ku-deliver sicho ilichotumwa na raia. Hili ni taifa, dola au nchi ya raia, siyo viongozi wa serikalii.

7. Kinachoinekana ki kwamba Serikali inajaribu kujitungia mitihani na kuandaa marking scheme yake yenyewe baaada ya kushindwa kujibu mtihani wa kuleta maendeleo uliotungwa na raia. Raia wanahitaji vitu tangible, constructs au dialectics badala ya ku-deliver imani, vitu visivyoobekana wala kushikika - intangibles, metaphysics, imani, infinites, uongo na ujanja, wamekwisha!
 
Lengo la tahasusi mpya ni kuongeza Ajira.
Ajira ipi? Tanzania kwa sasa bila kupitia kilimo na ufundi kupitia veta uwezi pata ajira mpaka tulogane mmoja afe ndio atafutwe mwingine.😁😁😁
 
I wish ujue yasiyoonekana yana nguvu kuliko yanayoonekana

Logically, hata haya yanayoonekana yamefanyika kutokana na yale yasioonekana

Ogopa mawazo ambayo hayaonekani ndio yanafanya haya yanayoonekana

Haya yanayoonekana ni hardware zipo software zake na huko ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo jinsi watu wanayoona na kuamini mambo
 
Umeyajuaje yasiyoonekana??
 
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles).

2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani?

3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye imani kwa sababu imani haina kipimo/kiwango standard cha kitaaluma. Kila mwenye imani yake anadai yuko sahihi kwa mujibu wa anavyoamini; Mugasha kya Nyatenda, Kimuli, Kashasila et la zote hizo ni imani sawa ukristo au uislam na vipande vyazo.

4. Hoja yako imejengwa kwenye kuamini (metaphysics) siyo kujua (science & dialects) Serikali itatunataka kwenda na dialects!

5. Imani ni pamoja na uchawi, kwa nini na huo usiwekewe combination ya historia na literature, kwa mfano?

6. Tusiogope kuimbia Serikali ukweli kuwa imeboronga. Inachotamani ku-deliver sicho ilichotumwa na raia. Hili ni taifa, dola au nchi ya raia, siyo viongozi wa serikalii.

7. Kinachoinekana ki kwamba Serikali inajaribu kujitungia mitihani na kuandaa marking scheme yake yenyewe baaada ya kushindwa kujibu mtihani wa kuleta maendeleo uliotungwa na raia. Raia wanahitaji vitu tangible, constructs au dialectics badala ya ku-deliver imani, vitu visivyoobekana wala kushikika - intangibles, metaphysics, imani, infinites, uongo na ujanja, wamekwisha!
Mfumo badala ya kuimarisha sasa wanamwaga na kutupa container. Sio mtaalum ila naona upuuzi tu kua na combi zote hizo form five. Tena suala la kufunza dini lingeachiwa taasisi za dini sio eti mwalimu analipwa na hela ya serikali kufundishs dini.🤣. Serikali ijikite kwenye elimu dunia combi ziwe za masomo yanaweza kusaidia maendeleo ya nchi kiuchumi kutoka hapa tulipo😂
 
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles).

2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani?

3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye imani kwa sababu imani haina kipimo/kiwango standard cha kitaaluma. Kila mwenye imani yake anadai yuko sahihi kwa mujibu wa anavyoamini; Mugasha kya Nyatenda, Kimuli, Kashasila et la zote hizo ni imani sawa ukristo au uislam na vipande vyazo.

4. Hoja yako imejengwa kwenye kuamini (metaphysics) siyo kujua (science & dialects) Serikali itatunataka kwenda na dialects!

5. Imani ni pamoja na uchawi, kwa nini na huo usiwekewe combination ya historia na literature, kwa mfano?

6. Tusiogope kuimbia Serikali ukweli kuwa imeboronga. Inachotamani ku-deliver sicho ilichotumwa na raia. Hili ni taifa, dola au nchi ya raia, siyo viongozi wa serikalii.

7. Kinachoinekana ki kwamba Serikali inajaribu kujitungia mitihani na kuandaa marking scheme yake yenyewe baaada ya kushindwa kujibu mtihani wa kuleta maendeleo uliotungwa na raia. Raia wanahitaji vitu tangible, constructs au dialectics badala ya ku-deliver imani, vitu visivyoobekana wala kushikika - intangibles, metaphysics, imani, infinites, uongo na ujanja, wamekwisha!
wakati wadau wa elimu wanatoa maoni uliona ni kama utani au ni kupoteza muda right 🐒
 
Serikali hii imefanya jambo la kipumbavu sana kuhusu hizo combination zenye dini, why dini ili iweje je do the want to take Tanzania kwenye iliko Nigeria ya sasa, je kuna agenda za waislam kuifanya Tanzania iwe nchi ya dini ya kiislam? Nadhani agenda kuu ni kutaka kuueneza uislamu kwa mbinu zozote zile.

Kwanini dini zisibaki na wahusika wenyewe? Na why this now why wakati wa Samia Hassan yanafanyika haya why?
 
Tumevamia pori lenye wanyama wakali usiku wa GIZA TORORO

Nguvu kubwa ingetumika kuiokoa shilingi INAYO POROMOKA Kwa kasi ya ajabu

Mkenda huko UMEPOTEA

pambana Kuifufua ELIMU SUPPLY KIBAHA

chawa hana matokeo chanya
 
Tumevamia pori lenye wanyama wakali usiku wa GIZA TORORO

Nguvu kubwa ingetumika kuiokoa shilingi INAYO POROMOKA Kwa kasi ya ajabu

Kenda huko UMEPOTEA

pambana Kuifufua ELIMU SUPPLY KIBAHA

chawa hana matokeo cha
Mfumo badala ya kuimaridha sasa wanamwaga na kutupa container. Sio mtaalum ila naona upuuzi tu kua na combi zote hizo form five. Tena suala la kufunza dini lingeachiwa taasisi za dini sio eti mwalimu analipwa na hela ya serikali kufundishs dini.🤣. Serikali ijikite kwenye elimu dunia combi ziwe za masomo yanaweza kusaidia maendeleo ya nchi kiuchumi kutoka hapa tulipo😂
Well Noted Mkuu....
 
Sekondari O leve mbona kuna masomo.ya Bible knowledge na Islamic knowledge miaka mingi tu mbona na wamekuwa wakifanya mitihani ya NECTA form four tatizo nini kuwa na hayo masomo A Levell?

Vyuo.vikuu mbona hadi sasa viko kibao vinatoa degree za Theology na mambo ya Islamic knowledge sioni shida
 
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles).

2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani?

3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye imani kwa sababu imani haina kipimo/kiwango standard cha kitaaluma. Kila mwenye imani yake anadai yuko sahihi kwa mujibu wa anavyoamini; Mugasha kya Nyatenda, Kimuli, Kashasila et la zote hizo ni imani sawa ukristo au uislam na vipande vyazo.

4. Hoja yako imejengwa kwenye kuamini (metaphysics) siyo kujua (science & dialects) Serikali itatunataka kwenda na dialects!

5. Imani ni pamoja na uchawi, kwa nini na huo usiwekewe combination ya historia na literature, kwa mfano?

6. Tusiogope kuimbia Serikali ukweli kuwa imeboronga. Inachotamani ku-deliver sicho ilichotumwa na raia. Hili ni taifa, dola au nchi ya raia, siyo viongozi wa serikalii.

7. Kinachoinekana ki kwamba Serikali inajaribu kujitungia mitihani na kuandaa marking scheme yake yenyewe baaada ya kushindwa kujibu mtihani wa kuleta maendeleo uliotungwa na raia. Raia wanahitaji vitu tangible, constructs au dialectics badala ya ku-deliver imani, vitu visivyoobekana wala kushikika - intangibles, metaphysics, imani, infinites, uongo na ujanja, wamekwisha!
Washauri na marafiki wa Kiongozi wetu hawamsaidi Kiongozi wa Nchi.wajipime.
 
Back
Top Bottom