mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,117
1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles).
2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani?
3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye imani kwa sababu imani haina kipimo/kiwango standard cha kitaaluma. Kila mwenye imani yake anadai yuko sahihi kwa mujibu wa anavyoamini; Mugasha kya Nyatenda, Kimuli, Kashasila et la zote hizo ni imani sawa ukristo au uislam na vipande vyazo.
4. Hoja yako imejengwa kwenye kuamini (metaphysics) siyo kujua (science & dialects) Serikali itatunataka kwenda na dialects!
5. Imani ni pamoja na uchawi, kwa nini na huo usiwekewe combination ya historia na literature, kwa mfano?
6. Tusiogope kuimbia Serikali ukweli kuwa imeboronga. Inachotamani ku-deliver sicho ilichotumwa na raia. Hili ni taifa, dola au nchi ya raia, siyo viongozi wa serikalii.
7. Kinachoinekana ki kwamba Serikali inajaribu kujitungia mitihani na kuandaa marking scheme yake yenyewe baaada ya kushindwa kujibu mtihani wa kuleta maendeleo uliotungwa na raia. Raia wanahitaji vitu tangible, constructs au dialectics badala ya ku-deliver imani, vitu visivyoobekana wala kushikika - intangibles, metaphysics, imani, infinites, uongo na ujanja, wamekwisha!