Nina tatizo la sikio kuunguruma au kama kuna maji sikioni

Chukua bangi mbichi yale majani yake kamulia kwenye sikio, hakikisha vimajimaji vinaingia kwenye sikio.

Fanya hivyo kwa siku tatu utakuja kunishukuru.
 
Nilidumu na tatizo hili Kwa miaka 5 bila kujua shida nn?? Wakati mwingine nlikua nikiamka asubuhi limeziba badae linaachia until 2021 likaziba mazima.

Nilienda hosp Kuna kipimo wanaingiza maskion wakasema ni uchafu umefunga njia.

Sehemu ya kwanza alikua alitumia maji ya uvuguvugu na syringe anapress anaayaacha Kwa muda anayatoa.. alitoa uchafu ila sikio halikuzibuka.

Solution
Siku Moja nikiwa kwenye home niliamua kutumia pamba za masikio na dawa ya maji (wengine huweka hii dawa machoni)

Nilikua naiweka sawa Kwa dk 2 Kisha narefusha Ile pamba na kuingiza sikioni EBWANAAAAA EEEEE pamba ilikua inatoka nyeusi tiiiii. Niliendea hivyo Kwa muda mrefu nkasikia paaa limezibuka from there sijawahi kukutana na CHANGAMOTO hiyo tena

Nilichojifunza then nikwamba sikio Lina njia ndefu kidogo Kwa ndani sisi hua tunasafisha Kwa juujuu tu na wakati mwingine kuongezea uchafu kwenda ndani na kwamuda mrefu ule uchafu huganda na kua mzito na kufunga njia na waathirika wakubwa ni watumiaji WA earphones.
Earphone( nadhani Sina uhakika) hulazimisha sikio kuzalisha nta nyingi Ili kujinda na sound kubwa nwa muda mrefu nta hiyo hugeuka uchafu.

Nashauri kufanya checkups mara Kwa mara Ili kujua CHANGAMOTO mapema
 
Mkuu hata mimi nina shida hiyo kwa miaka kadhaa sasa na bado sijawahi kwenda hospital.Kuna kipindi nikitoa mwayo masikio yanaachia halafu baade yanaziba tena.ULIENDA HOSPITAL GANI MKUU?
 
Kwema mkuu, vipi ulipata suluhisho ya changamoto yako?

Maana na mimi nimekumbwa na tatizo kama hilo, sikio linaziba na kunakuwa kama na nta kwa ndani kabisa zinasababisha kupoteza usikivu.
Mimi niliwahi kupata changamoto kama hii 2020 na 2021 nilikuwa nasumbuliwa na Tinnitus kwa muda sikio moja linapoteza kabisa uwezo wa kusikia.

Nilikuwa nasafisha sikio kwa Hydrogen Peroxide au Boric Acid baada ya muda unakaa sawa.

Chanzo mini ilikuwa jino la upande wa sikio lilikuwa linavimba kwa ndani bila kusikia maumivu yoyote nilipopata dawa ya jino na sikio likapona, niliacha pia kutumia earphone
 
Hii hali na mimi huwa inanitokea ila nimetambua ni earwax au uchafu wa masikioni unaojaa na kusababisha sikio kuziba Kwa muda , mimi siku nyingine hata siku nzima linaziba kesho yake lifunguka .

Mwaka jana ndio nilianza kuhisi hili tatizo lilipo anza kama double sound Kwa sikio la kulia yaani kama mwangwi hivi nilipanick kinoma baada ya wiki likaacha.

Kwenye kufuatilia niligundua ni tatizo linalosababishwa na blocked earwax .
 
E
Mkuu hata mimi nina shida hiyo kwa miaka kadhaa sasa na bado sijawahi kwenda hospital.Kuna kipindi nikitoa mwayo masikio yanaachia halafu baade yanaziba tena.ULIENDA HOSPITAL GANI MKUU?
Exactly mkuuu........ Nenda popote tu Wana kakipimo flani na Wala sio gharama na hakamalizi hata dk 3 kujua kama ishu ni uchafu..... Hilo ya miayo nilikua nalo, au ukikimbia au kubonyeza sikio Kwa nje linazibuka.......

Jaribu nilichoeleza hapo mkuuu Mimi limeisha kabisaaaa aseee
 
Back
Top Bottom