Nimweleze au?

kwa uchunguzi wa Muda mfupi huu! Wewe ci mwanamke wa kuoa.. Mambo kama haya unamaliza mwenyewe sasa kila ki2 unaanika hapa. Ci 2kueleweje? Ulianza na MTOKO,umekuja La shoga yako na Album, tena Ukifanyiwa hki utakuja tena. Jiheshmu na Uwe na maamuzi yako kwanza. Mbna hujiamini mwanamke weye.
 
beba picha moja ya hasara walizopiga na uyo x g wake then umwoneshe then ukimaliza ilo zoez ukasome, muda wakusoma we unafanya mapenzi na ukifika muda wa ndoa sijui utakuaje?
 
me nikuambie tu bila kuficha,hapo hamna mwanaume,utakuwa kila siku unatulilia hapa!bora shatani umjuae kuliko malaka ambaye humjui
 
Hapo uamuzi ni wako.. Kila kitu umashaambiwa..... Ila usiingie huo ni MKENGE Zinduna..

Mapenzi ya JF, Facebook, DHW ni kichaa. Kama unataka kuwa mwendawazimu, utashiwa kunyonyolewa manyoya. Take my word. Mkubalie halafu usione aibu kuja hapa na feedback.

Pole sana wangu.
 
Unahamu na mpini acha kutuzingua,na ukipigwa mpini utakuja kutueleza hapa Jf? Misichana mingine maswa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom