Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,417
800 tu?Wengine zilishajaa tukafuta na sasa hivi zinaelekea kujaa tena!Alafu post 2000 hazidaki mdada..ujanja ndo unahitajika!yaani jamaa ana post 75 tu kaondoka na kifaa wakati malegend tuna post 2000 na PM 800 bado tunasota. tunaripoti abyuzi bana