Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:
 
dahhhh i hatari
kabla ya yote ndg shemej mtarajiwa NAOMBA UBADIRISHE AVATAR YAKO...manke dah dada AD ANAWEZA KUKUKATAA

ntamshauri lakin pls avatar kwanza
 
Mkuu jipange maana wanafunzi wa chuo hiki cha jf DA ni matron sasa sijui hivyoanafanyia kazi mswaada wako huyo Rose1980 ndiye mshauri wake mkuu usije rudi hapa kipofu ukatuletea adithi za nimenyonywa macho hiyo itakuwa nijuu yako hila unamoyo umewaza nini kwa DA??unafikiria ni mhabeshi??chakike hicho unachotaka kuingia lazima ukojoe umechuchumaa!!!
 
Hee mkuu mbona unamtisha mwenzio?
 
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
 
tehe tehe tehe! C ashasema amevutiwa na uchangiaj wake? Hayo mambo ya uhabeshi yatafuata DA akshamkubali.
Mkuu jipange maana wanafunzi wa chuo hiki cha jf DA ni matron sasa sijui hivyoanafanyia kazi mswaada wako huyo Rose1980 ndiye mshauri wake mkuu usije rudi hapa kipofu ukatuletea adithi za nimenyonywa macho hiyo itakuwa nijuu yako hila unamoyo umewaza nini kwa DA??unafikiria ni mhabeshi??chakike hicho unachotaka kuingia lazima ukojoe umechuchumaa!!!
 
avatar yake kweli inatisha. Duh!

apochacha!!!!!!!!!
ndo mana nikamwambia abadirishe bas manake io avatar dada DA anaaweza AKASITISHA NIA...ata km alikuwa ana nia..lakin DA aasi anamapenz ya kweli ye aangaliii sura wala KUOMBWA NAULI ..ye anapenda tu miamia!!!!!!
 
ha hahaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie jamaniiiiii

ama kweli "mwenye dada hakosi shemeji"

Ila sasa ujipange kwa hoja zenye kueleweka la sivyo unaweza usirudi tena JF!!!
 
Rose kmbe we mbaguz eh? Mbna mi hukuja knshia shela cku ile pale kwa kakobe? Mcctze DA akubal cjahudhuria k'party huu mwka wa 5. Mi ntakuwa matron wa watoto.
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
 
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
Naingojea kwa hamu hiyo thread ya DA!!Mimi nitakuwa katika kamati ya ulinzi hivi ngoja niulize kadi zitaandikwa majina ya jf au ya alisia??na hichokiko ninani wakuitisha.?Anyway ngoja nisubiri kwakuwa nimeomba ulinzi mlangoni ikiwa nakuhakiki kadi na imani wengi tutafahamiana!!!
 
Wapi mamaaa Dena ndo jamaa keshakudondokea hivo mambo ya kujivinjari. Ila mwenyewe akiona utakoma
 
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:

Tuko pamoja mkuu ila anaonekana kama mwanamke mbishi mbishi vile.Anyway sipendi wanawake wa aina yake sijui mwenzangu kama utamweza jiandae kufuata sheria,kanuni na taratibu amekaa kiBeijing sana.
 
Rose kmbe we mbaguz eh? Mbna mi hukuja knshkia shela cku ile pale kwa kakobe? Mcctze DA akubal cjahudhuria k'party huu mwka wa 5. Mi ntakuwa matron wa watoto.
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom