Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Hmaster,

Kwanza naiombe radhi kwa kuchelewa kuona hii thread sikuwa online toka asubuhi kuootkana na sababu zilizonje ya uwezo.

Wote mliochangia nawashukuruni saaaana.

Hmaster nitamalizana nae kiutu uzima. Nawapenda wooooooteee, msisitizo "I LOVE YOU ALL"

DA
 
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:

ME Love you too dear........................
 
Hmaster,

Kwanza naiombe radhi kwa kuchelewa kuona hii thread sikuwa online toka asubuhi kuootkana na sababu zilizonje ya uwezo.

Wote mliochangia nawashukuruni saaaana.

Hmaster nitamalizana nae kiutu uzima. Nawapenda wooooooteee, msisitizo "I LOVE YOU ALL"

DA

Hapo kwenye red haijatulia kabisa utawezaje kutupenda wote ?. Mpende Hmaster zaidi bana we vipi.
 
Tuko pamoja mkuu ila anaonekana kama mwanamke mbishi mbishi vile.Anyway sipendi wanawake wa aina yake sijui mwenzangu kama utamweza jiandae kufuata sheria,kanuni na taratibu amekaa kiBeijing sana.
Ngongo mbona unapiga ikulu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom