Mi niko hapa napigwa na butwaa tu.
Kuna mzembe mmoja kafiwa na anko wake Moro hapo kakacha kwenda kumzika eti ili akamzike Kanumba.
Ngoja nijinywee bia zangu mie. Ntaenda wapu wakati nlipotaka kwenda barabara haipitiki kisa mzinzi mwenzangu anazikwa?
RIP mfanya ngono mwenzangu.
Wewe acha kuwa Kilaza kuna watu wengi tu wanatengeneza pesa online, wewe kama mpaka leo Internet kwako ni kwa ajili ya Facebook na JF tu, pole sana bado upo kiza kinene open Ur eyes!!Wabongo bana kazi kulalama tu, Rev Masa anawasema wenzake walioenda wakati yeye kapiga kambi hapa JF kujibu post! Khaaaa! bado tunasafari ndefu
Karume, Nyerere pia wamekwenda mbona wamsema Kanumba tu? mwache bana apate heshima yake?Hebu imajin:
Ijumaa watu hawakwenda job, kisa: Yesu.
Jumamosi pia hawakwenda, source: Karume
Jumapili kama kawaida mapumziko
Jumatatu no job, source: Yesu
Jumanne tena holaa, Source: Kanumba.
Afu tunalalamika nchi masikini, hali ngumu ya maisha......
Tufanyeni kazi wandugu. Kanumba is gone!
Ngoja kwanza niongeze Tusker Malt nipate akili.
Pumba nyingine hii hata kufikiri hufikiri unachokiongea! mbona na mimi natengeneza pesa hapa msibani kama ishu ni pesa?Wewe acha kuwa Kilaza kuna watu wengi tu wanatengeneza pesa online, wewe kama mpaka leo Internet kwako ni kwa ajili ya Facebook na JF tu, pole sana bado upo kiza kinene open Ur eyes!!
Do you know anything about Freelancers?
Pumba nyingine hii hata kufikiri hufikiri unachokiongea! mbona na mimi natengeneza pesa hapa msibani kama ishu ni pesa?
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu.
Asante Masanilo kwa kujitofautisha nao, niko pamoja na wewe.
Mimi naomba niulize maswali mawili tu,
1. Kwamba Amekuza Tasnia ya Filamu Tanzania, kivipi?
2. Kwamba ameitangaza Tanzania? Kivipi? Kazi gani ya Kanumba inaitangaza Tanzania Yetu? Kazi za kanumba zilikuwa zinaportray utamaduni gani wa kitanzania? au ni mafundisho gani ya msingi yanapatikana kwenye kazi zake?
3. Nani anapinga kwamba, huyu alikuwa ni mmoja wa watanzania ambao hakuwa akilipa kodi wakati alikuwa anajiingizia mapesa mengi kwa shughuli zake? Kwa hili, Rais wa nchi alistahili kuahirisha safari zake za kikazi sababu ya msiba wake?
Ombwe la hekima limetapakaa nchi nzima.
mimi nilichogundua ni kwamba clouds media are very powerful sana tena sana katika vyombo vya habari hapa nchini.
Uzito wa msiba huu umeletwa na clouds kuupa uzito wa aina yake na kweli wamefanikiwa.
My take ni kwamba ingekuwa wanafanya juhudi kama hizi kuhamasisha mambo ya maendeleo pia ingekuwa na maana zaidi.
RIP kanumba
wewe unayako kuandika upuuzi
ukizwika wewe i guess watu wawili tu na wasamalia wa mochuari ndio watabeba maiti yako
acha wivu.
jana sikukuu mbona hukulalamka watu hawafanyi kazi?
Kweli nakuaminia kwa jinsi ulivyo mtaalamu wa kupiga ndole kuchomoa noti na simu mifukoni bila shaka jioni ya leo mahesabu yatakuwa babu kubwa,nikitoka kazini nakusubiria hapa Calabash uje uchafue meza,nitakuwa na washikaji wengine kama watano kwa hiyo make sure inazidi kiwango hiyo hesabu!