Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

Kweli CCM hawalipendi hilom jina la Malecela. dingi walimpiga chini kwenye urais na wewe sasa wamekuchinjia baharini wakati wewe ni mtaalam wa kuogelea. Mama mlezi Anna Kilango nae atapigwa chini UWT
hamia M4C fasta kaka
 
Hongera kaka kwa uthubutu. Ila nakushauri uangalia biashara nyingine, kwan kwenye siasa huenda historia ndo itakua inakuhukumu.
 
Yaani wanao husisha CDM na ukaskazini wananiboooooa saana, mbona akili zetu zinakuwa limited? kama kuku! MMMMmmmmh kaazi kwelikweli
 
Mkuu Hongera sana kwa hatua uliyofikia, umepata uzoefu utakaokusaidia katika hatua nyingine. Usikate wala usikubali kukatishwa tamaa kwa lile ulilodhamiria.

Pamoja sana!
 
Kajipange kulikomboa jimbo la Mtera sasa.
Mkakati uanzie sasa, siyo unakwenda USA halafu unakuja wakati wa uchaguzi.
Hama hiyo chama huna chako hapo Baharia.

Hongera kwa kuthubutu.
 
kwa ushauri amia chadema, gombea ubunge kupitia chadema 2015, achana na chama cha baba, siasa si ufalme.
 
one step at a time...nakumbuka kukusoma hivi hapa Jf na nilikariri

Sijawahi kukusapoti jf wala kimoyomoyo William, lakini kuwa mkweli hata kwa nafsi yangu you impressed me today, ulijitahidi sana tu tofauti na matarjio ya wengi...

One step is done, up to the next now...

Goodluck in your political endevour
 
Kaka yangu William, hongera kwa kujaribu. Katika kujipanga kwako, ningekushauri ubakie jimboni mwako ukiweka mikakati ya kuweza kumuondoa huyo Lusinde. Ukiwasahau watu wa jimboni kwako, nao watakusahau siku ukirudi kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza. Huo ni mtizamo wangu binafsi, I could be wrong.
 
Mimi sisemi pole. Kwa siasa za Bongo na mtu aje hapa kwa muda mfupi kama Willy na kufanikiwa angalao kupenya, kwa kweli ni mafanikio makubwa sana na ni dalili kwamba, anastahili hata kupewa majukumu mengine makubwa zaidi. Mkuu Willy, nasema HONGERA sana na najua huo ndio mwanzo. Lakini pia nikupe hongera kwa kuwa muwazi, na hilo umewapa changamoto wanasiasa wetu, wabadilike na kuachana na dhana kwamba siasa ni unafiki na uongo. Umefungua ukurasa mpya na ni dalili tosha ya kuwa utafanikiwa siku zijazo. Let's touch base
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William @Dodoma City!
Kaka umejitahidi sana speach yako ya ukweli,ndo siasa ukikosa unajipanga kwa uchaguzi mwingine,jiandae mapema 2015 karibu sana kwa mwenye nia ya kuingia mjengoni.
 
@Malecela, achana na siasa ndugu. you are loosing your potential.

Una option ya kufanya vitu vingi sana, wich will make you to be top, than being in siasa.
 
usikate tamaa ndiyo unakomaa kisiasa.one day you can cross to the real way for changes
 
Back
Top Bottom