Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

A true democrat! usiinamishe kichwa chako mbele ya mtu yeyote wala kumpigia mwanadamu magoti. You took a punch, you hit the ropes, get up fight again!! Keep up the fight! Wanasema "you live to fight another day"
Uuum... excuse me sir!
You meant tha "canvas" right?
 
Mkuu,

Ungetumia walau mstari mmoja kuwapongeza hata wale waliokupinga....Naamini siku moja utakuja kuujua mchango wao, kama kweli unatamani kuwa mwanasiasa makini; tena ambaye atakuwa amesimama kwa uwezo wake mwenyewe badala ya kutumia legacy ya ukoo!!
 
Inawezekana walikuona kama vile wewe sio mwenzao, siunazijua siasa za CCM! wao hawajali utendaji wa mtu kama sio mwenzao katika rushwa, upendeleo na ufisadi lazima utapigwa chini tu!
 
Pole sana. C'est la vie. Maybe you should take more time
to learn about EAC and familiarize with its problems.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Comrade waweza kutuambia umegundua nini hasa katika kipindi chote cha kampeni hadi leo siku ya uchaguzi? ukiacha kujua ni wapi ulipojikwaa kwa faida ya uliotakam kwenda kuwatumikia tujuze tafadhali,Comrade





Mac.inc@masoko
 
Mkuu pole sana, ila inabidi ujivue gamba kama millya, make huko CCM majungu mengi sana na usanii wa kufa mtu
 
uwezo wake wa kufikiri ni mdogo. Ameingia kwenye siasa kuwafuata baba na mama yake. Haiwezekani kijana unasema watu wanafuata mkumbo cdm na unaona nchi inacolapse,kila kitu kinahitaji ukombozi mpya! Eti vijana siyo wazalendo kwa sababu hawajapita jkt huku wahujumu uchumi wote wa nchi hii ni wale waliopitia jkt.! Tafuta kazi ya kufanya ccm ina wenyewe!
 
A true democrat! usiinamishe kichwa chako mbele ya mtu yeyote wala kumpigia mwanadamu magoti. You took a punch, you hit the ropes, get up fight again!! Keep up the fight! Wanasema "you live to fight another day"

True Willy just like Shyrose did!!!
 
Mi sikupi pole ila nakupa pongezi mkuu kwa hata pale ulipofika, cha kujifunza hapa ni kuwa we bado unaonekana mchanga sana hasa kwenye hizo siasa za ccm ambazo mara nyingi hutawaliwa na vituko vingi sana, cha muhimu na matalajio yangu ni kukuona unagombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu 2015 kupitia CHADEMA ndipo utakapotimiza ndoto yako vinginevyo utabaki unaota tu ndoto visizokwisha
Kijukuu cha SUDAY
 
Well umeseema vyema, angalia wapi ulikosea na jipange kwa miakakti upya!!! Siasa za bongo ngumu mkuu!!
 
Nakupongeza sana kaka, umeonyesha ukomavu wa hali ya juu, zote nihatua endelea kupigania ndoto yako na itawezekana,
 
Rudi jukwaani usiwe mwanasiasa wa mitandaoni tu. Hamia kabisa bongo, piga siasa, ukomae. Wengi walioshinda ni wazoefu nawaligombea majimboni 2010. So usife moyo huu ndo mwanzo. Nimewapenda wabunge siku hizi hawangalii majina, lol, experience.

Ni kweli kabisa Mkuu unapiga sana siasa za mitandaoni na wapiga kura hata mitandaoni hawafiki, watu kama Olesendeka sijui kama wanajua Facebook nini, kwa huko NEW YORK siasa za mitandaoni ndo penyewe make kila laia ana kompta yake
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William @Dodoma City!
Pole mwana JF,nakushauri usikate tamaa bali jipange ili 2015 ukalikombowe jimbo la baba malecela senior kutoka kwa yule Bwana matusi Lusinde maana anatuharibia tabia watoto wetu kwa kuwafundisha matusi.
Unaweza kununua godoro lakini huwezi kununua usingizi karibu home.
 
Big up bro. Umethubutu umeshindwa, endelea kuthubutu iko siku utashinda.

Kila la heri le baharia!
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William @Dodoma City!


Ingawa sikubaliani nawe kwa mambo mengi, ulifurahisha sana kwa hatua uliyochukua kugombea ubunge huo, tena head-on. Tanzania imekuwa inawakilishwa na watu vilaza sana kwenye bunge lile tangu lianze, na ugombea wako ulitia chachu sana kwenye process na kuwafanya vilaza waogope kugombea, au kuondolewa mapema wakati wa mchujo wa awali. Vile vile ulinifurahisha sana kwa kuwa unatoa updates za process yote ya uchaguzi hapa JF moja kwa moja, bila kumng'unya neno. Hata hivyo kama una nia ya dhati kuitumikia TZ katika ulingo wa siasa, inabidi utulie kidogo ujipange upya tena. Ushauri wangu wa haraka haraka ni kwenye kiti cha lile jimbo lililoachwa na J.S Malecela, kwa vile sasa hivi limekaliwa na kilaza mmoja ambaye mdomo wake hauna coordination na ubongo.
 
Pale hapakuwa size yako bro, we elekeza nguvu kumtoa yule jamaa mwenye matusi Lusinde. I promise you nitachangia hali na mali kama utaenda Mtera kurudisha heshima ya mkoa wa Dodoma. Makao makuu ya nchi yanadeserve mbunge full of energy like Le Mutuz Big Show. Good exposure for you in EALA contest, now go for Mtera...
 
Back
Top Bottom