Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

Tatizo umepanda ndege kuja kugombea ubunge, huwezi changuliwa hivyo! lazima wananchi waone nini unawafanyia wananchi lasivyo mambo yakushikwa mkono na kupewa uongozi yamkini bado yako ccm lakini taratibu nao wanaanza kuona samli inayeyuka....angalia na usidhani kujibizana hoja jf ndio kuimarika kisiasa....nchi inahitaji viongozi sio watawala.

Mkuu hongera kwa kuthubutu na bila shaka umejitathimini nafasi yako mbele ya macho na miyo ya watu.Kama unahisi kunasehemu hakuenenda sawa palekebishe,pia kama kura hazikutosha tu katika mgawanyo usikate tamaa next time you can win and we assure you that we will be with you while you have something or you have not.

Don`t loose hope my Brooo.
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William @Dodoma City!

bora umeshindwa haaah haah haaah
 
Usirudi Marekani kuna nafasi za CCM hata ukuu wa wilaya ya Kongwa uwe karibu na Home pia Buge who Knows Dady will wrestle something for you>
 
Mwanzo nzuri, kusanya nguvu na kapige kambi mvumi misheni ili 2015 Lusinde asirudi mjengoni dodoma
 
-

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

William @Dodoma City!

Kwa mara ya kwanza kabisa hapo naweza kukuunga mkono.
Kufanya kosa lianaweza lisiwe kosa lakini kurudia kosa ni balaa.
Kama kweli umeamua kukaa chini na kutafakari ulipokosea na kuanza tena kujipanga upya then you have got my support and goodluck with you political ambitions.
 
Mkuu hongera na CHUMA ULETE unayotumia hapa JF, yaani ghafla tu page ya 6, thread za watu wengine zinapitwa tu
 
nilfurahishwa sana na maelezo yako ya awali.Pia umejipima ukijikita zaidi unaweza uka achieve,kukata tamaa ni silaha dunia ya vita vya ukombozi hasa wa kifikra,you paved the way,try times
 
- Well, Heshima mbele sana JF KUMKOMA NYANI, leo kwenye uchaguzi wa Ubunge wa EAC nimeshindwa fairly na sina malalamiko, ninawapa hongera washindi wote walioshinda leo na hasa my best Friends Shyrose, Dulla, na Makongoro, MUNGU AWAONGEZEE NA WAKATUMIKIE VYEMA TAIFA LETU!

- AS FOR ME SASA NI WAKATI WA KUKAA CHINI NA KUTAFAKARI NILIPOKOSEAA NA KUANZA KUJIPANGA UPYA, NINAWASHUKURU BAADHI YA JFs WALIONISAIDIA KWA HALI NA MALI, MBARIKIWE!

- WAKUU WANGU MWANAKIJIJI, INVISIBLE NA HALISI, SINA CHA KUWALIPA KWA ALL YOU DID KATIKA KUNISAIDIA NA KAMPENI, WOTE MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI NA JF WOTE MBARIKIWE, THIS IS MY HOME SO TUNAENDELEA KAMA KAWAIDA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William @Dodoma City!

Mwanzo mzuri, safari huanza na hatua moja!
 
Maombi yangu Mungu ameyajibu. Nilikuwa naomba sana Le Mutuz ashindwe maana alikuwa ananitukana sana kwenye zile thread zake. Ingekuwa ni kashfa kwa Taifa kama tungempeleka mtu aliyepata Division IV O-Level tena akiwa na grade F kwenye Masomo muhimu mfano Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Commerce, Biology na BookKeeping. Pole sana William. Nilikwambia kwamba utakuwa loser kwenye huu uchaguzi ukaanza kubisha!
 
Yaani kuna watu wana roho mbaya! Kushindwa kwake kutakusaidia nini wewe? Angalau ingekuwa akishindwa yeye hiyo nafasi utaipata wewe.

Kama hawezi kuongoza kwani hata akishinda atanisaidia nini? Sio lazima akishindwa yeye nishinde mimi, walioshinda wanatosha mbona!
 
Ngoja nimimine kahawa mie,

Willy leta kashata, afu kaa hapa jamvini tuendeleze tafakuri.
Huku tunaangalia bao linavyochezwa, tulia tu utang'amua kitu next time!
 
Maombi yangu Mungu ameyajibu. Nilikuwa naomba sana Le Mutuz ashindwe maana alikuwa ananitukana sana kwenye zile thread zake. Ingekuwa ni kashfa kwa Taifa kama tungempeleka mtu aliyepata Division IV O-Level tena akiwa na grade F kwenye Masomo muhimu mfano Basic Mathematics, Physics, Chemistry, Commerce, Biology na BookKeeping. Pole sana William. Nilikwambia kwamba utakuwa loser kwenye huu uchaguzi ukaanza kubisha!

Mungu wetu katusikia kwakweli! Eti alikesha akiaanda speech yake!
 
Back
Top Bottom