Nimepata SMS ya kupokea hela kutoka NMB na sina akaunti

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Feb 5, 2023
2,681
6,026
Hawa scamers sasa wamezidi.

Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!?

Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇

Screenshot_20230421-084814.jpg
 
Mbona hiyo namba ya NMB imeseviwa kwenye simu yako? kama ni tapeli basi alishika simu yako akasevu namba zake.
Inawezekana pia kuna mtu kafungua akaunti ya NMB alafu kajaza namba zako ndio ziwe zinapata notificication pesa ikiingia.
Haijaseviwa kwenye simu mkuu, ni kama zile msg zinazokuwa na logo name ya brand eg. M-Pesa, Vodacom n.k believe me. Chaajabu sijawahi hata kufikiria kufungua akaunti huko kwa walimu!
 
Hawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...👇
Kwani hiyo akaunti namba unaitambua? Otherwise ni muhuni alisave namba kwa jina la NMB hebu jaribu ku view contact details
 
Hata mimi nimepokea hii text jana lakini kwenye account hamna mabadiliko husika..
 
Hawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...👇
Hiyo msg ni official from nmb kilichotokea ni kuwa kuna mtu alienda kuweka hela kwa wakala kwenye akaunti inayoonekana hapo. Sasa kule unaulizwa namba ya simu(ya mwekaji au yoyote) sasa huyo mwekaji inavyoonekana alikosea baadhi ya namba ikajikuta namba alizotaja zinamatch na namba yako so sytem ya nmb ndo ikatuma hiyo msg but mpunga upo kwenye hiyo akaunti inayoonekana hapo na wala hakuna uhusiano kati aliyetumiwa msg na hiyo akaunti na huo mpunga ulioingia
 
nmb account namba uwa ina andikwa namba za mwisho ...xxxx hao ni wahuni tu wa mtaa
Siyo kweli mkuu nmb namba wanaandika full kama unadepost kwenye kutoa ndo wanaandika namba za mwisho but crdb wao hata kwenye kuweka wanaandika namba za mwisho tu.
 
Mbona hiyo namba ya NMB imeseviwa kwenye simu yako? kama ni tapeli basi alishika simu yako akasevu namba zake.

Inawezekana pia kuna mtu kafungua akaunti ya NMB alafu kajaza namba zako ndio ziwe zinapata notificication pesa ikiingia.
Soma hadi chini
SMS za kawaida zina reply ila zisizo za kawaida huwezi reply
 
Hawa scamers sasa wamezidi....asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB.....na sina akaunt huko....hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers...
Vuta mkwanja wa sikukuu
 
Itakua hiyo line iliungwa sim bank. Na muhusika akaachia kutumia hiyo line. Na kampuni ya mtandao wa simu ikamua kuiuza. Ndio umekua nayo wewe.
 
Hiyo namba yako imeunganishwa na NMB mobile kimakosa.
Piga *150*66# utaona huduma ya NMB mobile inakuja na jina la huyo mwenye Account, na account namba utaiona.
 
Back
Top Bottom