Nimepata jamani!!!!!

hallow baby,
nilikuwa nasubiri tu wadau humu wajikanyage na nione ni namna gani wanavyopenda kudandia vya watu!
Nipo mama, waeleze waaache kabisa kukufatafata na kukusumbua,
tupo pamoja sasa, nothing gona put us apart!

Nadhani wana JF mmeisoma hii
 
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.

:israel::israel::israel::israel::baby::baby::baby::baby::baby:Full kizunguzungu!!
 
tenda tarehe nane.... matokeo tarehe kumi... tasavali mzee mwenzangu.. lazima nione kihindihindi!!!

Unajua kiongozi huku JF kuna biashara flani hivi..... watu wanachakachuliwa wao wanakuja kutamba wamepata waume....Subiri atakuja hapa na thread "Mume niliyempata ananiliza....Msaada wana JF" Nasi kama kawaida yetu hatutachoka kumpa pole.
 
tenda tarehe nane.... matokeo tarehe kumi... tasavali mzee mwenzangu.. lazima nione kihindihindi!!!

mapenzi ni kuelewana mzee mwenzangu!nimeridhika nae japo kwa hizi siku 2 tu!
Ni mipango ya mungu!
Mungu anaweza yote!Na atakalo liwe, huwa!
 
Unajua kiongozi huku JF kuna biashara flani hivi..... watu wanachakachuliwa wao wanakuja kutamba wamepata waume....Subiri atakuja hapa na thread "Mume niliyempata ananiliza....Msaada wana JF" Nasi kama kawaida yetu hatutachoka kumpa pole.

Babu, huyu sio hao!
Huyu hakika tumependana kabisa!
kwakweli ni chaguo la mungu!
Namshukuru mungu kwa kunikutanisha nae!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom