Nimeota ndoto,kuna kiongozi mkubwa atafariki!

Topthinker ma bro! Thanks for ur hospitality to inform us about ur dream but understand that,all of us are just passingby so death is within hands of Allah! Lets kneel down and ask our lord to straighten our paths to paradise,okey?!
 
Wewe utakuwa mrithi wa Sheikh Yahaya Hussein, huyu mzee alishawahi kusema mwanasiasa yeyote atakaejaribu kugombea urais na Kikwete atakufa.Matokeo yake hakuna asiejua.
 
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!

Kuna mzee mmoja alikuwa akiota ota ndoto za aina hiyo akafariki mwenyewe! Mara nyingi ndoto za mtu humtabiria/humchuria muotaji mwenyewe, uongo?
 
watu wengi wame critisize maelezo yangu'naomba niweke wazi'nilionyeshwa mtu ambaye hayupo kabisa kwenye mawazo yangu naye ni Mmojawapo wa makamu wa rais wa zanzibar'sijui sababu ya Mungu kunionyesha hivyo ila Mungu ana sababu'naomba niwahakikishie wana jf kwamba mimi naota ndoto na inatokea kweli!ndoto ile ilinionyesha jinsi jf members walivyochangia kwa wingi kuliko post yoyote iliyokuiwepo hapa jamvini'tutaonana!

Yupi huyo mbona wote wako fit???
 
Back
Top Bottom