Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Me nimeota kuwa wewe leo ifikapo saa mbili usiku utakuwa umejamba mara tano
ujinga na utoto!
Me nimeota kuwa wewe leo ifikapo saa mbili usiku utakuwa umejamba mara tano
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
Watanzania jitahidini sana kusoma kitu na kufikiri kabla ya kujibu,naomba andika hii kwenye diary yako nitarudi tena
Hizo habari za UDAKU peleka Issa Michuzi au Magazeti ya UDAKU.
Tahadhari topthinker, hiyo ni hatari! Nakukumbusha tu kuwa Sheikh Yahya Hussein aliwahi kuota ndoto kama hii yako na sasa ni marehemu!mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
Tahadhari topthinker, hiyo ni hatari! Nakukumbusha tu kuwa Sheikh Yahya Hussein aliwahi kuota ndoto kama hii yako na sasa ni marehemu!
mimi ni muota ndoto za kweli,nimeota kuna mkuu amefariki dunia hapa tanzania,naomba iandike kwenye diary yako!
Ndugu mimi naamini kama kweli kaota ni kweli jambo hili litatokea kwa maana ndoto ni bayana hata Biblia inasema hivyo ukisoma kitabu cha Daniel sura ya 2 inaongelea ndoto amboazo zilitokea pia Yusufu aliota jambo likatokea na hata dunia yote inaamini hivyo leo.
Vipi tena Cantalisia?Jamani!
Pointi....Tusidharau kila kitu jamani.
kuna wakati walisema wameota kiongozi mkubwa atakufa, ndo mwakyembe
akaponea chupu chupu.
Mimi naomba uniambie imekaaje hiyo. maana wengine huwa mnajua kila kitu
lakini mnakuja hapa jf kwa njia ya kusema mmeota.