We are not alone. Kuna viumbe wengine kwenye galaxy

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
3,396
4,740
Leo nimeota ndoto ambayo ni very clear.

Kuna viumbe kutoka anga za mbali watakuja duniani miaka ya usoni na kuitawala dunia.

Watatutawala wanadamu kwa miaka 48. Viumbe hao wana teknolojia kubwa kuliko wanadamu.

Kwa muonekano ni kama binadamu wenye rangi kama mijusi wana miili mikubwa na akili kubwa kuliko wanadamu.

We are not alone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom