Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Kupona kwako ni kumueleza mumeo jinsi unavyojisikia atakusaidia kuliko kukaa kimya, mwisho wa hilo jambo ni kuzini na kichaa kwa sababu hapo una deal na akili sio roho
 
Mimi sielewi kwanini mnamuandama huyo dada...?ameelezea hisia zake na mkumbuke naye ni binadamu na huyo kichaa pamoja na matatizo yake ya akili lakini ni binadamu pia,au hamuoni hilo..?mbona kuna vichaa kibao wanawake wamezalizalishwa?au wengine ukipita mabarabarani utawaona wana mimba au watoto vichanga?au hamuoni?labda ishu hapa ni kuwa huyu ni mke wa mtu kwahiyo hapaswi kufanya kama ambavyo hisia zake zinamtaka afanye lakini sio kumtamani chizi.....mwisho wa siku wote ni binadamu na wana hisia hata huyo chizi ana hisia pia!
 
hebu achen unafiki.... mi sijaona dhambi kubwa alioifanya.. hata muanze kumtupia mawe.. ndo maana amepata ujasir wa kuja kuomba msaada humu.. na nina uhakika hata kwenye sala zake atakuwa anamuomba mungu wake amuepushe na haya majaribu.. after all
she is only human .. kama swala ni roho ya kutaman mkumbuke kuwa kiumbe chochote chenyee uhai na kitakachofikwa na umaut huongozwa na tamaa ... hata hao manabii wakubwa wa mungu walitaman kwan mwisho wa siku kuokoka hakumuondolea ubinadam wake ... Adam na hawa binadam wa kwanza walitaman kikubwa ni nn atafanya baada ya kutaman hicho ndo mnawwza mhukumu nacho. hata mungu anajua hilo kuhusu watu wake..
 
Wadau shalom,

Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu.

Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa.

Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa.

Sasa sijui ni kwasababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yeye na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani.

Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku.

Je hili ni pepo au nini?Nimeomba sana lakini wapi.

Nifanye nini kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa.Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana.

Asanteni
Ni pm
 
Naona umeamua kutangaza una nyege za mandingo, usijali utahudumiwa mpaka ukimbie na chupi mkononi.
 
Back
Top Bottom