Nimemchoka huyu mwanamke nataka ni mbwage kistaarabu kuepuka karma ila haelewi kabisa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari zenu wana Jf.

Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembeleza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila mafanikio yoyote yale, kweli nilimpenda sana na kila nikimfikiria basi nilikua naumia kihisia huku nikijitahidi kujaribu kila mbinu na zikagonga mwamba zote .

Siku moja nimelala nikashtuka usiku mithili ya mtu anayekata pumzi nikajikuta tuu najiambia huyu mwanamke ataniua nikaamua kumpuuza tuu na kumpotezea japo ilikua ngumu maana alishaanza kuniingia moyoni na kweye damu.

Siku zilienda nimekaa zangu busy na kusaka maokoto huku nikiwa nimejikatia tamaa na wala simtafuti huku nipo busy na pisi zingine, ghafla nashangaa huyo kanicheck yeye mwenyewe na kuanza kujitongozesha huku akinilaumu nimemsusa mwamba nikawa sina habari ila baadae ili bidi kama mwanaume nisikatae mwanamke bali nitengeneze namna awe wangu tuu kiaina japo haikutoka moyoni kama mwanzoni.

Tumeanzisha nae mahusiano na sasa yanaenda sawa tuu binti hana shida kabisa ila kila nikikumbuka alivyo nitesa kihisia , kasababisha nimeaibika sana najikuta na mchukia sana na pindi ni wapo nae nakua mwenye hasira sana akiongea chochote kile kiwe kizuri au kibaya na kasirika sana kwa kweli, pia nikiwa na nyandua na mnyandua kwa uchungu kama kumlipia kisasi kabisa . Namtesa sana kwenye mnyanduano ni mwendo wa hardcore mpaka hasira ziishe ila wapi

Ndugu zangu mahusiano hayajamaliza hata miezi miwili ila baada ya kumnyandua sana kibabe mara kadhaa sasa nimejikuta kumchoka sana, nimemfanyia visa ndani ya muda mfupi ili ajiongeze lakini ni kama haelewi kabisa. Najaribu kila mbinu ya kuachana nae kwa amani ila binti haelewi somo na ndiyo kwanza kila nikiwa zangu busy ana nikumbuka na anazidisha upendo sana, ananijali, ana care kwa kila hali na mwenye huruma sana na hata hela aombi na ikitokea kaomba basi anaanza na samahani ila anaomba hela kidogo sana tuu.

Mimi sina haja na upendo wake tena maana alinitesa sana wakati na mfukuzia , na nilishamkatia tamaa na sasa nimemwoshesha kila dalili simhitaji tena ila masikini haelewi kabisa ndo kwanza anazidisha upendo zaidi

Kuna kipindi analia sana , anaongea kwa huzuni na masikitiko sana lakini mimi hata huruma sina tena, nataka ni mwache aendezake kiroho safi ila naona kabisa atanilaani kama ataenda kwa manung'uniko

Ndugu mimi siogopi laana zake japo sitaki manung'uniko yake, ila kikubwa nataka aende kwa amani na imeshindikana sasa na kila nikimtafutia makosa amekua wa kujishusha sana na kuomba msamaha sana mpaka namshangaa mno

Sasa sijui ni tumie mbinu ipi aende kwa amani huyu binti maana ni mwema sana ila basi tuu akinitesa mno acha aende na naamini atakua kajifunza hatotesa wanaume tena wakiwa wanamtongoza.

Wakuu hebu nambieni ni mfanyaje aende kwa amani ili kuepuka karma maana naona kabisa asipo nisikia kunadalili ya kumfanya single mother
 
Habari zenu wana Jf.

Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembekeza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila mafanikio yoyote yale, kweli milimpenda sana na kila nikimfikiria basi nikikua naumia kihisia huku nikijitahidi kujaribu kila mbinu na zikagonga mwamba zote .

Siku moja nimelala nikashtuka usiku mithili ya mtu anayekata pumzi nikajikuta tuu najiambia huyu mwanamke ayaniua nikaamua kumpuuza tuu na kumpotezea japo ilikua ngumu maana alisha anza kuniingia moyoni na kweye damu.

Siku zilienda nimekaa zangu nikiwa nimejikatia tamaa na wala simtafuti nipo busy na pisi zingine, ghafla nashangaa huyo kanicheck yeye mwenyewe na kuanza kujitongozesha huku akinilaumu nimemsusa mwamba nikawa sina habari ila baadae ili bidi kama mwanaume nisikatae mwanamke bali nitengeneze namna awe wangu tuu kiaina japo haikutoka moyoni kama mwanzoni.

Tumeanzisha nae mahusiano na sasa yanenda sawa tuu binti hana shida kabisa ila kila nikikumbuka alivyo nitesa kihisia , kasababisha nimeaibika sana najikuta na mchukia sana na pindi ni wapo nae nakua mwenye hasira sana akiongea chochote kile kiwe kizuri au kibaya na kasirika sana kwa kweli

Ndugu zangu mahusiano hayajamaliza hata miezi miwili ila baada ya kumnyandua mara kadhaa sasa nimejikuta kumchoka sana, nimemfanyia visa ndani ya muda mfupi ili ajiongeze lakini ni kama haelewi kabisa. Najaribu kila mbinu ya kuachana nae kwa amani ila binti haelewi somo na ndiyo kwanza kila nikiwa zangu busy ana nikumbuka na anazidisha upendo sana, ananijali, ana care kwa kila hali na mwenye huruma sana na hata hela aombi na ikitokea kaomba basi anaanza na samahani ila anaomba hela kidogo sana tuu.

Mimi sina haja na upendo wake tena maana alinitesa sana wakati na mfukuzia , na nilishamkatia tamaa na sasa nimemwoshesha kila dalili simhitaji tena ila masikini haelewi kabisa ndo kwanza anazidisha upendo zaidi

Kuna kipindi analia sana , anaongea kwa huzuni na masikitiko sana lakini mimi hata huruma sina tena, nataka ni mwache aendezake kiroho safi ila naona kabisa atanilaani kama ataenda kwa manung'uniko

Ndugu mimi siogopi laana zake japo sitaki manung'uniko yake, ila kikubwa nataka aende kwa amani na imeshindikana sasa na kila nikimtafutia makosa amekua wa kujishusha sana na kuomba msamaha sana mpaka namshangaa mno

Sasa sijui ni tumie mbinu ipi aende kwa amani huyu binti maana ni mwema sana ila basi tuu akinitesa mno acha aende na naamini atakua kajifunza hatotesa wanaume tena wakiwa wanamtongoza.

Wakuu hebu nambieni ni mfanyaje aende kwa amani ili kuepuka karma maana naona kabisa asipo nisikia kunadalili ya kumfanya single mother
Mwamba huwa nakuona kama unateswa sana na mambo ya mapenzi na pia kama vile hujui unataka nini kwenye mahusiano.
 
Habari zenu wana Jf.

Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembeleza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila mafanikio yoyote yale, kweli nilimpenda sana na kila nikimfikiria basi nilikua naumia kihisia huku nikijitahidi kujaribu kila mbinu na zikagonga mwamba zote .

Siku moja nimelala nikashtuka usiku mithili ya mtu anayekata pumzi nikajikuta tuu najiambia huyu mwanamke ataniua nikaamua kumpuuza tuu na kumpotezea japo ilikua ngumu maana alishaanza kuniingia moyoni na kweye damu.

Siku zilienda nimekaa zangu busy na kusaka maokoto huku nikiwa nimejikatia tamaa na wala simtafuti huku nipo busy na pisi zingine, ghafla nashangaa huyo kanicheck yeye mwenyewe na kuanza kujitongozesha huku akinilaumu nimemsusa mwamba nikawa sina habari ila baadae ili bidi kama mwanaume nisikatae mwanamke bali nitengeneze namna awe wangu tuu kiaina japo haikutoka moyoni kama mwanzoni.

Tumeanzisha nae mahusiano na sasa yanaenda sawa tuu binti hana shida kabisa ila kila nikikumbuka alivyo nitesa kihisia , kasababisha nimeaibika sana najikuta na mchukia sana na pindi ni wapo nae nakua mwenye hasira sana akiongea chochote kile kiwe kizuri au kibaya na kasirika sana kwa kweli, pia nikiwa na nyandua na mnyandua kwa uchungu kama kumlipia kisasi kabisa . Namtesa sana kwenye mnyanduano ni mwendo wa hardcore mpaka hasira ziishe ila wapi

Ndugu zangu mahusiano hayajamaliza hata miezi miwili ila baada ya kumnyandua sana kibabe mara kadhaa sasa nimejikuta kumchoka sana, nimemfanyia visa ndani ya muda mfupi ili ajiongeze lakini ni kama haelewi kabisa. Najaribu kila mbinu ya kuachana nae kwa amani ila binti haelewi somo na ndiyo kwanza kila nikiwa zangu busy ana nikumbuka na anazidisha upendo sana, ananijali, ana care kwa kila hali na mwenye huruma sana na hata hela aombi na ikitokea kaomba basi anaanza na samahani ila anaomba hela kidogo sana tuu.

Mimi sina haja na upendo wake tena maana alinitesa sana wakati na mfukuzia , na nilishamkatia tamaa na sasa nimemwoshesha kila dalili simhitaji tena ila masikini haelewi kabisa ndo kwanza anazidisha upendo zaidi

Kuna kipindi analia sana , anaongea kwa huzuni na masikitiko sana lakini mimi hata huruma sina tena, nataka ni mwache aendezake kiroho safi ila naona kabisa atanilaani kama ataenda kwa manung'uniko

Ndugu mimi siogopi laana zake japo sitaki manung'uniko yake, ila kikubwa nataka aende kwa amani na imeshindikana sasa na kila nikimtafutia makosa amekua wa kujishusha sana na kuomba msamaha sana mpaka namshangaa mno

Sasa sijui ni tumie mbinu ipi aende kwa amani huyu binti maana ni mwema sana ila basi tuu akinitesa mno acha aende na naamini atakua kajifunza hatotesa wanaume tena wakiwa wanamtongoza.

Wakuu hebu nambieni ni mfanyaje aende kwa amani ili kuepuka karma maana naona kabisa asipo nisikia kunadalili ya kumfanya single mother
jipe mdaaa mkuu utaanza tena kumkubalii jitahidi usahau ya nyuma wewe ni mwanaume jikaze
 
BLOCK tu
 
Kwa hiyo ulitaka Mama huruma? Ukimtongoza asubuhi jioni anakupa papuchi!? Jiongeze dogo utakuja kupata wa hovyo huyo utamkumbuka. Na mwanaume rijali haweki kinyongo Kwa mwanamke aliyemsumbua kumpata.
 
Unasema alikutesa kihisia ndo umlipe hivyo hivi wewe unategemea ukitongoza tu mwanamke akukubali hapo hapo, sio wote wapo hivyo, na mwanamke wa ndoto zako inaleta maana ukisumbuka kidogo kumpata mkuu na nzuri tayari umempata ingekuwa kama ni sehemu ya kumbukumbu yako kama ungeichukulia kwa uzuri

Uliendeshwa na tamaa na umepata ulichotaka, nafikiri ukikua (matured) utaanza kugundua nini unataka unapo mtongoza mwanamke

Wenzio tulisota mno kupata wenzi wetu na mpaka tunafikishana hapa karibia miongo miwili , na imebaki kumbukumbu nzuri ya nilivyoteseka kumpata mke wangu mzuri
 
Habari zenu wana Jf.

Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembeleza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila mafanikio yoyote yale, kweli nilimpenda sana na kila nikimfikiria basi nilikua naumia kihisia huku nikijitahidi kujaribu kila mbinu na zikagonga mwamba zote .

Siku moja nimelala nikashtuka usiku mithili ya mtu anayekata pumzi nikajikuta tuu najiambia huyu mwanamke ataniua nikaamua kumpuuza tuu na kumpotezea japo ilikua ngumu maana alishaanza kuniingia moyoni na kweye damu.

Siku zilienda nimekaa zangu busy na kusaka maokoto huku nikiwa nimejikatia tamaa na wala simtafuti huku nipo busy na pisi zingine, ghafla nashangaa huyo kanicheck yeye mwenyewe na kuanza kujitongozesha huku akinilaumu nimemsusa mwamba nikawa sina habari ila baadae ili bidi kama mwanaume nisikatae mwanamke bali nitengeneze namna awe wangu tuu kiaina japo haikutoka moyoni kama mwanzoni.

Tumeanzisha nae mahusiano na sasa yanaenda sawa tuu binti hana shida kabisa ila kila nikikumbuka alivyo nitesa kihisia , kasababisha nimeaibika sana najikuta na mchukia sana na pindi ni wapo nae nakua mwenye hasira sana akiongea chochote kile kiwe kizuri au kibaya na kasirika sana kwa kweli, pia nikiwa na nyandua na mnyandua kwa uchungu kama kumlipia kisasi kabisa . Namtesa sana kwenye mnyanduano ni mwendo wa hardcore mpaka hasira ziishe ila wapi

Ndugu zangu mahusiano hayajamaliza hata miezi miwili ila baada ya kumnyandua sana kibabe mara kadhaa sasa nimejikuta kumchoka sana, nimemfanyia visa ndani ya muda mfupi ili ajiongeze lakini ni kama haelewi kabisa. Najaribu kila mbinu ya kuachana nae kwa amani ila binti haelewi somo na ndiyo kwanza kila nikiwa zangu busy ana nikumbuka na anazidisha upendo sana, ananijali, ana care kwa kila hali na mwenye huruma sana na hata hela aombi na ikitokea kaomba basi anaanza na samahani ila anaomba hela kidogo sana tuu.

Mimi sina haja na upendo wake tena maana alinitesa sana wakati na mfukuzia , na nilishamkatia tamaa na sasa nimemwoshesha kila dalili simhitaji tena ila masikini haelewi kabisa ndo kwanza anazidisha upendo zaidi

Kuna kipindi analia sana , anaongea kwa huzuni na masikitiko sana lakini mimi hata huruma sina tena, nataka ni mwache aendezake kiroho safi ila naona kabisa atanilaani kama ataenda kwa manung'uniko

Ndugu mimi siogopi laana zake japo sitaki manung'uniko yake, ila kikubwa nataka aende kwa amani na imeshindikana sasa na kila nikimtafutia makosa amekua wa kujishusha sana na kuomba msamaha sana mpaka namshangaa mno

Sasa sijui ni tumie mbinu ipi aende kwa amani huyu binti maana ni mwema sana ila basi tuu akinitesa mno acha aende na naamini atakua kajifunza hatotesa wanaume tena wakiwa wanamtongoza.

Wakuu hebu nambieni ni mfanyaje aende kwa amani ili kuepuka karma maana naona kabisa asipo nisikia kunadalili ya kumfanya single mother
ñjoo mkoani nikupe shamba ulime hawez kukufata
 
Mkuu una tatizo, kwamba kuna muda ni maalumu say wiki 2, au mwezi ndo mwisho lazima Mwanamke akukubalie...

Vp kama alikuwa na mtu hakuwa anamuelewa ikawa anataka waachane kabisa ndipo aanze upya na wewe???

Kuna mambo mengi yanaweza kuchangia ila kama Mwanamke anakuheshimu na kukutii sidhani unahitaji kitu kingine ...
 
Mwenzio huyo hapo tenaa na ndoa kafunga yy
Screenshot_20231104_093222.jpg
 
Lakini wakati mwingine sisi wanaume tunachangia sana wanawake kuwa malaya, binti ulimtongoza akakaza kamba lakini unamuona mbaya je angekubali siku hiyohiyo na penyewe si ungesema ni Malaya? tuwe wavumilivu.

Back
Top Bottom