Mbona kama nina nusa kaharufu ka ushirikina hapo kwa mama mkwe?atatembeaje bila nguo jamani??hapana fanya utafiti zaidi kuna namna!!
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
<br />Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
Nyumba self contained inakuwaje mkutane uchi? labda useme kuna chumba self contained katika hiyo nyumba. Na huyo mama nae mkware atatokaje bafu uchi? hao ndio ukisikia washawasha.
<br />Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
hapa kuna utata wa maelezo
Hata kama kuna utata au hadithi ya kutunga...kitendo cha kuwepo mkwe ndani ya nyumba kwa mile za kiafrika lazima kilete hali fulani ya tahadhari..Kama kuna mama mkwe au hata baba mkwe ambaye hawezi kulitambua hilo basi hasitahili hiyo heshima ya kuitwa mkwe.
Ni mkwe ni zito zana na hakuna maelezo yoyote yanaweza kujitosheleza endepo mtu wa namna hiyo amekosa adabu mbele ya watoto wanaompa hiyo heshima ambayo si wazazi wote wamebahatika kuipata!
Mama mkwe hawezi kutoka koridoni bila kuvaa even a kipande cha kanga. Kama vipi mi naona mlikuwa mnabanjuana tu.
Mama mkwe hawezi kutoka koridoni bila kuvaa even a kipande cha kanga. Kama vipi mi naona mlikuwa mnabanjuana tu.