Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
huyo ma'mkwe muwanga tu
 
Sa self container gani hiyo ambayo haina vyoo room? Umeoa uswahilin? Mama mkwe wako ni shangingi? Kwa nini aende bafuni bila nguo? Next tym tafuta KOPO ukojolee ndan then Umenishangaza sana pia kwa kukaa ukweni siku zote hzo!
 
huyu mama ni soo, ameendaje bafuni bila khanga jamani, ni bahati mbaya tu wala hamna mila wala nini

Hajazoea kuishi na watu ndani kwake. Hao nao wamezidi, siku 5 zote mnambana tu mama wa watu ameshazoea kupunga upepo ndani kwake!
 
kuna mengi ya kujiuliza lakini mama mkwe anaweza kuwa anaupungufu wa akili, anatabia za ajabu ajabu, siku hiyo alipitiwa kimawazo, ni mchawi, etc lakini kubwa sahau maana yanaweza kuumiza sana ndani ya familia yako
 
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
<br />
<br />
Mulika mwiziiiiiiiiii......
Hiyo nyumba mlikuwa mnaishi watu wawili tu?
Kama mlikuwa mnaishi watu wengi, iweje mkwe wako adiriki kuranda uchi kwenye makorido?
 
Kama alikuwa atoki kuwanga basi mkeo kuna kitu alimwambia hivyo naye alikuwa anakutega ili aonje asali ya mwanae
 
usihofu kaka,ni bahati mbaya japo huyo mamamkwe nae kadata,huwezi tembea uchi hata kama waliomo ndani kwako ni watoto wako
 
hakuna mkosi kulingana na dhamira yako ilikuwaje
  1. je baba mkwe wako yuko wapi??
  2. unadai nyumba ni self contained ilikuwaje ukutane na mtu katoka bafuni au mnachangia bafu?
 
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

ukipost thread.. basi visit tena uone majibu na maswali.. then reply.. so unapost na kutimka.. watu wanakuuliza, nyumba yako self, kisha unasema unaamka kwenda chooni, kisha unakumbana na mamkwe on way.. ah labda unamaana yako unayoijua kuhusu self contained house.. kimsing sell contained room au house, ni nyumba ambayo mtu mmoja anaweza kufanya faragha zake (self).. sasa mwenzetusisi hiyi faragha yako kisha mamkwe.. kisha bamkwe.. ah .. UNANCHANGANYA TU..
 
Ndio matatizo ya kwenda kuishi ukweni. Sisi kwa mila na desturi zetu huwa hatuendi kulala ukweni na hilo lililokutokea ni moja ya mambo ambayo huwa tunayaepuka.
 
ukipost thread.. basi visit tena uone majibu na maswali.. then reply.. so unapost na kutimka.. watu wanakuuliza, nyumba yako self, kisha unasema unaamka kwenda chooni, kisha unakumbana na mamkwe on way.. ah labda unamaana yako unayoijua kuhusu self contained house.. kimsing sell contained room au house, ni nyumba ambayo mtu mmoja anaweza kufanya faragha zake (self).. sasa mwenzetusisi hiyi faragha yako kisha mamkwe.. kisha bamkwe.. ah .. UNANCHANGANYA TU..

haliniingii akilini kwani hili suala kaleta lakini lina utata au alidhamiria akatoka akaingia kwa mama mkwe???
 
Uzinzi tu unakusumbua, umemuona umeanza kumtamani. Aibu yako. Angekuwa ni mama yako ungekuja kutusimulia hapa?. Mheshimu mkewe basi, nadhani angejua ulivyoandika hapa ndoa ingevunjika.

Mwisho, hebu fikiria shemeji yako aliyemuoa dada yako, ndo angekuja kusimulia hapa kama amemuona mama yako uchi ungejisikiaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom