Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

wajua nini, watu wengine, sio kumwona akiwa naked tu mama mkwe wake bali pia kutembea nao. Wapo watu wengi tu wameshatembea na mama mkwe zao, wengi tu hadi wanafanya :uniform". wengine wanaweka ile sticker ya kuku na mayai yake.. sijui huko siku hizi inaitwaje..
ila kama ni kweli tukio hili lilikupata wewe mwenzetu sisi, basi mimi kwa uelewa mdogo sana wa kuyasoma mawazo ya watu, nadhani there is something going on within your mind. na kuna matukio kadhaa ambayo yapekukuta katika maisha yako ya sasa baada ya tukio hili ambayo si mazuri kama mikosiflan hivi, na moyo wako unakuunganisha kwamba "may be this comes as a rusult of the said curse" na jambo hili linakutatiza sana wewe binafsi.
Inaweza kuwa kweli ni curse au sio kutokana na maelezo ya ziada ambayo hujayatoa humu. labda endapo utapenda nikuulize maswali mawili matatu, ndipo ntakupa jibu na kukushauri cha kufanya..
 
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.
Hadith yako inatufundisha nini?
 
huyu mama ni soo, ameendaje bafuni bila khanga jamani, ni bahati mbaya tu wala hamna mila wala nini
 
mhh huyo mamamkwe si mtanzania nini???? ila we potezea tu hamna cha mkosi wala nini au umevutiwa naye?
 
Yaweza kuwa hadithi ya kutunga kwa kuwa Kiti mwenyewe ameingia mitini. Ameulizwa maswali ya msingi hayajajibiwa. Lakini kwa hali ya sasa ya maadili hilo ni jambo linalowezekana kabisa. SIO MKOSI HATA KIDOGO. Kama tu wengi walivyosema.
 
Sidhani kama pana ukweli hapo, kwanza hata ukiwa pekeyako unaona soo kutembea ndani mwako uchi afu eti atoke na ninyi watoto mpo??

Labda kama anaimani za kishirikina japo mimi siamini sana..

Ila kama umetunga basi nakupa big up mkuu coz utakuwa na kipaji cha kutunga hadith zakusisimua..
 
Hii ni stor yakutunga na sio kitu cha kweli kwani self gani unashare mama mkwe badala ya wife? Unapo danganya unatakiwa ujipange sio kukurupuka
Huyu jamaa hajui kabisa kutunga hadithi yaani ni zero
 
Sidhani kama pana ukweli hapo, kwanza hata ukiwa pekeyako unaona soo kutembea ndani mwako uchi afu eti atoke na ninyi watoto mpo??

Labda kama anaimani za kishirikina japo mimi siamini sana..

Ila kama umetunga basi nakupa big up mkuu coz utakuwa na kipaji cha kutunga hadith zakusisimua..
Atakuwa analazimisha kusadikika
 
Hiyo yako ndogo mbona. Kuna mshkajia alikumkuta mama mkwe anatoka kutafunwa pale Protea Apartments mchana kweupe. Na yeye pia alikuwa kaenda na dogodogo. Kwa hiyo kila mtu anamtunzia siri mwenzie!
 
huyo mama hana asabu.saa kumi ni mbili ni asubuhi kabisa kwa nin atmbeee uchi namna hiyo??.....
kumuona uchi sio kosa kosa ni wewe kukaa hapo ukweni siku tano.za nini zote hizo.....hata kama ni kuhani msiba sio hivyo.....
 
Mkuu Kit hii ni habari ya kutunga,big lie! Self contained room huwezi shirikiana na mkwe. Sema nyumba imejengwa choo na bafu vipo ndani. Au mama mkwe alikuwa anakuonyesha manjonjo. Lkn 100% huu ni uongo Mr.Kit,wewe ni mtunzi mzuri.
 
ningekuwa mimi ningemsalimia halafu ningetabasam nione kama naye angetabasam halafu tungemaliza habari
 
vipi na yeye alikuona? au ni wewe tu ndo uliyemuona, all the best endelea na mke wako hiyo ni ajali ya kawaida.
 
Mkuu kula bata,maana mama mkwe anashangaa mbona unakaa siku zote hapo? Sisi wengine huwa tunakaa masaa machache tunasepa,wewe siku 5? Aaah bwana lazima upate mambo,siku nyingine jitahidi kulala hata guest house,usipende sana rahisi mkuu,cheap is expensive. Si unaona umeona masaburi ya mzaa chema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom