Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Kutaitiwa kupo,
ila hakuondoi Haina yenu ya asili ya kike. (AIBU).
Mwanamke asiye na aibu Ni very toxic
Sasa lipi jema afe na tai shingoni?? Msikariri maisha. Mbona nyie mnaomba K siku ya kwanza ? Mbona mnakuwa hamna aibu? Me mwanaume wa hivi namuona kama mdangaji tu. Yani umenifaham Leo...umenitongoza Leo...unaomba K Leo?? Ukweli nakuona kama umetumwa na K hutalamba.
 
Sasa lipi jema afe na tai shingoni?? Msikariri maisha. Mbona nyie mnaomba K siku ya kwanza ? Mbona mnakuwa hamna aibu? Me mwanaume wa hivi namuona kama mdangaji tu. Yani umenifaham Leo...umenitongoza Leo...unaomba K Leo?? Ukweli nakuona kama umetumwa na K hutalamba.
Anaekuomba k siku Iyo Iyo anataka akutumie, Hilo halina mjadala

Na wewe ukimpiga kizinga siku Iyo iyo unakua sahii 100% ili usitumike bure au too cheap

Kama wanaume tulivo na standards, na wanawake Lazima nanyi muwe na standards
Kwa mwendo huo Inakua tayar mshafikia mkataba, nipe nikupe

Hakuna kulalamika Wala kulia lia
 
Mtu wa maslahi ajifichi mbona, as time goes ataonesha rangi yake halisi.

Ujue binamu tabia ya mtu iko Kama ngozi vile, Ni hivyo hivyo kwa wadangaji
katika transaction yoyote iwe social, economic, au political inafanyika bila pande zote kuwa na maslahi...hata wewe umeona una maslah ya utamu ndo maana ukamtongoza mwenye hips mchomoko
 
Anaekuomba k siku Iyo Iyo anataka akutumie, Hilo halina mjadala

Na wewe ukimpiga kizinga siku Iyo iyo unakua sahii 100% ili usitumike bure au too cheap

Kama wanaume tulivo na standards, na wanawake Lazima nanyi muwe na standards
Kwa mwendo huo Inakua tayar mshafikia mkataba, nipe nikupe

Hakuna kulalamika Wala kulia lia
Sasa mbona wanaume wanashangaa kuombwa hela siku hyo hyo wakat yeye ameomba K siku hyo hyo?? Kama ulivyosema lengo ni kumtumia basi na yeye asiogope kutumika.
 
Hai7ba transaction yoyote iwe social, economic, au political inafanyika bila pande zote kuwa na maslahi...hata wewe umeona una maslah ya utamu ndo maana ukamtongoza mwenye hips mchomoko
Sahii kabisa,
Nnachokataa always ni ile kujifanya ananipenda KUMBE unanidanga.

Kama Ni mapenzi acha yaflow naturally, ila Kama Ni biashara it's better tukauziana TU Kila mtu afe kivyake

Sio unaniuzia, nishakulipa chako ushatembea mbele.

Baadae unaniletea habar za Kod imeisha, mjomba kameza shoka, mvua imeezua bati.n.k.

Huo utakua Ni upuuzi,
Ni biashara gan Iyo unafanya Haina bima wala haiwez kujilipia Kodi wala kukutatulia changamoto zako binafsi nje ya KAZI.

Sasa
Itabidi iyo biashara ufunge Sasa, ukatafute KAZI nyingine
 
Sasa mbona wanaume wanashangaa kuombwa hela siku hyo hyo wakat yeye ameomba K siku hyo hyo?? Kama ulivyosema lengo ni kumtumia basi na yeye asiogope kutumika.
Ukiona anashangaa ujue uyo Ni mshamba, hajajua yanayoendelea apa mjini
 
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.

Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya "chwaaaaaaaah!!!" Mamamamaaa aisee mjini kuna watoto wakali mazee. Alikua amepiga vile visketi flani vya mpira mpira hips zimechomoza kama vile zinapambana zitoboe ile sketi pembeni zipotelee kusikojulikana. Juu alipiga top halafu kifuani saa sita zimechomoza dizaini kama hakua amevaa bra. Nikajikuta kama nimeduwaa shetani akanishika mkono akaniambia "blaza blaza usinikemee, hakika mm ni rafiki yako wa kudumu "

Nikaanza kujivuta mdogo mdogo kuelekea alipokua anachagua nguo. Mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi mno mpaka nilikua nayaskia hapa kifuani "tu tu tuuuu!!!" Nikamsogelea

Mimi "hello bestie, habari"
Yeye "safi"
Mimi "samahani kama nakufananisha hivi"
Yeye "sio mimi"
Mimi "okay, nina shida nahitaji kuwasiliana na ww.. sijui naweza kupata namba yako?"

Akaniangalia kuanzia juu mpaka chini kisha akanipa kasimu kake ka smart ka Samsung nichore namba yangu. Nikaandika. Nikajibip. Nikamshukuru. Nikasepa.

Huyoooooo nikaenda kituo cha gerezani kudaka mwendo kasi nirudi kitaa. Nikasema simtafuti kwanza mpaka jioni. Usiku nikamtext kumpanga for the next appointment. Ila akawa ananijibu kimkato mkato tu. Nikampandia hewani akakata akaniambia subiri nipo na kaka ntakupigia. Ikabidi nimpige sound ktk sms, akatiki lkn kwa masharti nisimuumize maana mahusiano yake yaliyopita alitendwa na hatopenda kupata experience kama ile. Nikamtoa hofu!

Leo asubuhi nimeamka nimekuta amenitumia bonge la text "baby sorry jana jioni wkt tunaonana nilikua na ela ktk mkoba mzee alinituma nikazitoe benki za mafundi hapa home, kama laki tano. Leo asubuhi kaja fundi nataka nimpe sizioni, nahisi niliibiwa pale Karume... Nimemuambia baba hanielewi, sijui nifanyeje naomba nisaidie..." Text nyngne akaweka vikopa kopa na vile vi emoji kama anaona aibu vile...

Nimeshindwa nimjibu nini aisee
Umemparamia Dada jambazi,tuma Hiyo Hela
 
Yaani nimesoma nimemaliza nimejikuta nacheka ukiona ghafla tu unapigwa na kizinga hata mwezi hamna jua tu hupendwiii unatafutiwa sababu tu ya kuachwa
Pale mtoa mada anatozwa Ada ya usajili kwanza, kabla mengi hayajawa mambo.

Ajajua TU Hilo
 
Back
Top Bottom