Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

Siku hizi ukitongoza hukataliwi lakini masaa machache baada ya kukubaliwa unapigwa kirungu cha uhakika..sasa utajua mwenyewe unachomokaje...na demu hapo atakuwa anafanya analysis ya kujua kama wewe ni bwege unayehonga massively au ni kapuku tu asiye na chakuhonga.

Kwa sisi wataalamu huo tunaita mtego wa fundi
 
Unakutana na wajinga ndo wanaliwa hivyo, ila wajanja thubutuuuu yako, unaliwa huku unajiona na huamini.
Hamna kitu hapa, Unajifanya tu.. Sijaona hiyo Brain bado .

Wewe sema umelisoma hili Leo kwa Mara ya kwanza .

Ila bila ivo, unaliwa Bure. Hamna cha ujanja wala cha mtoto wa mjini.

Labda kama mnakutana na wanaume wa wasiwasi.

Yaan ukutane namimi. kwanza Kazi yangu, Mavazi yangu, mwonekano wangu, Ninavyoongea. nilivyo mjanja wa lugha, ninavyojua kumplease MTU akajiona kakautana na Elon M, weeee.

Uwe Mwema tu. Otherwise nitakupiga machine Bure.
 
wallah nimecheka nusu nipaliwe hapa, sasa nikisema unakutan na wajinga unakataa, kwa hayo maelezo yako endelea kukutan na wenye akili za kushikiwa, ila wenye akili zao thubutuuuu tena thubutuuuuuu haswaaah lol
Hahahaha nikuache , kwako sijawah Ona Brain.
 
Kuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
 
90 ya wanaume tunanunua ngono indirect na 90 ya wanawake wanajiuza indirect.

Ila kibaya zaidi kuna wanawake wana wauzia ngono waume zao mpaka kwenye ndoa na ndio maana siku hizi ndoa nyingi kama mwanaume akipitia changamoto za kiuchumi lazima hiyo ndoa ivunjike.
 
Kuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Huo ndio uanaume sasa.. big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu we ni mafia sana
Sasa Tunafanyaje mkuu,
Unajua hii kitu inafaa unaitumia kwa mwanamke yule anajifanya much know.

afu kumbe show Zenyewe wakuta Ni sifuri hajui CHOCHOTE sitakwasita.

Afu bado pesa yako anaitaka, Aisee nitakua mjinga wa mwisho kupatia pesa yote Ile.

Kinachofata Ni kumpiga TU tukio
 
Kuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Tatizo ukimblock unakua umemtangaxia kwmb wewe Ni mnyonge
 
Kuna pisi nilikutana nayo nikaitongoza nikakubaliwa baada ya siku 2 akasafir kwenda Mwanza mm nipo Dar alipofika tu anaomba vocha tena ya 10000 eti ndio aliyozoea kujiunga sikumjibu chochote na namba yake nikai block maana niliuona huu mwanzo mbaya, baada ya hapo aliendelea kunitafuta Sana Ila ndio hivyo niliamua kumpotezea Na uzuri wake
Kama kazoea Si atumie hela yake pumbav sana
 
Back
Top Bottom