Nimemtishia mume wangu kwenye JamiiForums "kaninunulia Mercedes" picha kesho

Ana kasoro gani huyo mwanaume mpaka awe juha hivyo ? au wewe una ni zaidi ambacho wenzako hawana ?
 
Kwa jinsi wana jamvi walivyoanika utahaira na uchizi wako humu jamvini, huyo basha wako angelikuwa amezisoma coments zote angekununulia sumu badala ya benz ili ufie mbali kahaba ww
He is addicted to me ,
 
wanajamvi mnisamehe!nashindwa kujizuia kumtusi hyu pepo!babu dark city na mtambuzi mtanipa ushauri baadae!
 
Kumbe kinachokusumbua ni umaskini? Wenzio tukitaka maferari tunajinunuliaga!
Sasa mzungu anajua kiswahili? Yaani some women makes me not-so-proud to be one! Akhuu!
 
tishia basi kumuacha Paw, akupe japo sever ya jf??

Ushauri wa nini tena snowhite??

Natalia ni bonge la binti ambaye nimetokea kumpenda sana.....

Wewe unakwazwa na kitu gani??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Aah, Paw wangu hata hana neno, kila besdei ananinunulia tuktuk, sihitaji kumvizia! Mtishie mateka akupe walau pagale ufukweni! Ana viwanja naskia kama papaa msoffe
tishia basi kumuacha Paw, akupe japo sever ya jf??
 
Nivigumu kuamini unacho sema kama mtu atakuwa amefatilia vizuri post zako!

Lazima utakuwa unaigiza na maneno yako ni ushahidi tosha na hili nasema mara nyingine na kinyume na hapo Natalia lazima ukubali kuna kitu kina kusumbua!

Daaah Mwacheni mungu aitwe mungu.

Huyu ana low self esteem, inampelekea kuwa attention seeker. Its a known medical condition. It is suicidal pia, watch this space
 
Kumbe kinachokusumbua ni umaskini? Wenzio tukitaka maferari tunajinunuliaga!
Sasa mzungu anajua kiswahili? Yaani some women makes me not-so-proud to be one! Akhuu!

si ndo mana nikasema kama na ye ni mwanamke basi mi bora niwe japo ufuta tu!
 
Babu ile uliokunywa saa zile sio maji, ilikuwa gongo. Muambie bibi akupe madhiwa, u wiLl feel better.

Hapana Komando wangu King'asti,

Babu DC hajawahi kuonja hata alcohol free drinks zenu zenye pombe kwa kificho...Yuko sober kama alivyozaliwa!!

Bado anaamini Natalia ni bonge la genius ila wenzangu nyie ndiyo hamtaki kumuelewa!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
naungana na wewe mkuu, bado siamin sana kama huyu dada anamaanisha anayoyapost hapa......bado naamin ni utan au cjui anataka kufanya nini bt huu anaouweka humu ndani sio ukweli

kama ni kweli, namuhurumia sana mumeo na hao wanao,......................

na pia kama ni kweli wewe sio mzima natalia, kuna ki2 kinakusumbua, au ni ulimbukeni........
Nivigumu kuamini unacho sema kama mtu atakuwa amefatilia vizuri post zako!

Lazima utakuwa unaigiza na maneno yako ni ushahidi tosha na hili nasema mara nyingine na kinyume na hapo Natalia lazima ukubali kuna kitu kina kusumbua!

Daaah Mwacheni mungu aitwe mungu.
 
Daaaah me nimekusoma babu
Hapana Komando wangu King'asti,

Babu DC hajawahi kuonja hata alcohol free drinks zenu zenye pombe kwa kificho...Yuko sober kama alivyozaliwa!!

Bado anaamini Natalia ni bonge la genius ila wenzangu nyie ndiyo hamtaki kumuelewa!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom