Nimemtishia mume wangu kwenye JamiiForums "kaninunulia Mercedes" picha kesho

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
 
Nashindwa kuelewa hao waliokupa hizo like walikupaje.......yaani nini kiliwavutia manake mie toka nianze kupitia nyuzi zako sijawahi kuambulia chochote!
 
Wanawake mtatumaliza jamani khaa..Yan wewe kumtishia mwenzako hivi hivi mpaka anunue mercedes?.
 
Halafu ukiligonga utamtishia nini? Waafrika bwana tuna safari ndefu sana. Ingekuwa ndo mimi, mhhhh! Bora niwe peke yangu nijue moja
 
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu
Schizo..
 
weka hizo picha halafu wanaojua kupenda wakamchukua,tuone kama utarudi na vijimaneno vyako.Ila kumbuka what goes arround comes arround.Unavyochezea feelings za mwenzio kuna siku nawe itafika zamu yako.ngoja walimwengu wamshauri ajue unavyo muendesha ,ndio utakapoijua dunia ikiwa imevaa kaptula.
 
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu

ukiwa unapiga hiyo picha uso wako funika na gunia watoto wasije wakaona sura yako wakalia,sawa natalia?
 
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping begins .kesho nitawapostia picha ya mume wangu na gari mpya na picha ya Mimi natalia.sasa hivi nampenda I'm happy.ladies mtumie mitandao kuwatishia nilianza na facebook na hapa.nawashukuru kwa comment zenu

Boya utamjua tu!
low self esteem..haijifichagi..
 
kind of limbukeni fulani hivi! nadhani hii itakuwa thread ya mwisho kuisoma kutoka kwako nimeshajiridhisha kuwa wewe si mzima!!!
 
Unafikiri utanisikia nilikuwa namtishia gari nimepata na let the shopping begin
 
Mmmh, haya sasa. These are the mothers of tommorrow! Yako inathamani eehn?
 
Hapana huyu si mzima.
Nimetoka kusoma thread yake flan hivi ya kipumbavu kweli anajisifia sijui mama katibu mkuu...agrrrrrrr.. kutakuwa na tatizo flan kwenye bongo yake.
 
Nivigumu kuamini unacho sema kama mtu atakuwa amefatilia vizuri post zako!

Lazima utakuwa unaigiza na maneno yako ni ushahidi tosha na hili nasema mara nyingine na kinyume na hapo Natalia lazima ukubali kuna kitu kina kusumbua!

Daaah Mwacheni mungu aitwe mungu.
 
Kwa jinsi wana jamvi walivyoanika utahaira na uchizi wako humu jamvini, huyo basha wako angelikuwa amezisoma coments zote angekununulia sumu badala ya benz ili ufie mbali kahaba ww
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom