Nimempoteza anti yangu muhimbili jioni ya leo!!

Yamenikuta ndugu zangu!!
Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa wagonjwa....bahat mbaya hata mochwari huduma sio nzuri!!msiba upo nyumbani na taratbu za maziko zinaendelea!!

duh..pole aisee..
 
Pole sana Mkuu. Mwenyezi Mungu amlaze Shangazi yetu mahali pema peponi~Amen

Sympathy_card__A_49b3b4c5968b0.jpg
 
Yamenikuta ndugu zangu!!
Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa wagonjwa....bahat mbaya hata mochwari huduma sio nzuri!!msiba upo nyumbani na taratbu za maziko zinaendelea!!

Pole sana. JK administration haina tofauti na anayofanya Asaad Syria, aliyofanya Gadaff Libya.
 
Hapa Jf kuna watu wako muhimbili watatusadia kutafuta ukweli lakini pia nina jamaa Muhimbili yuko kitengo cha kutunza majina ya waliokufa naweza kufuatilia

Kwa hiyo ukipata jina na kuomba uchunguliwe kupata data utatoa jeneza la maziko au utachimba kaburi?

Watu wengine mnapenda kuongea pumba sasa akisema kafiwa na kusema kamuuguza kwa miezi sie akituambi kafa au hajafa unadhani inatuhusu?

Sie tunaungana nae kimawazo kumliwaza humu. Haya ukisikia watu wamekufa unataka ujue data zao ili iweje?
Unampango wa kwenda bungeni wajadili au kumuona JK?

Tena umenikumbusha wewe ndo unaweza kuwa unapanga na watu wa data hizo mnapeana majina kufanya utapeli au maafa ya kuumiza watu. Haya ngoja nipeleke taarifa utasikia wanajuta asap kikazi kwa kushiriki katika kuutoa data kutumika kiubaya.

Rip marehemu
 
Ubinadamu kaziiiiiiiiiiiiiiiii........hivi mtu mwenye mawzo kama yako imeifanyia nini jamiiiiiii.........
 
Yamenikuta ndugu zangu!!
Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa wagonjwa....bahat mbaya hata mochwari huduma sio nzuri!!msiba upo nyumbani na taratbu za maziko zinaendelea!!

pole sana mkono wa paka. shangazi yetu ataingia moja kwa moja kwenye kumbukumbu zetu za wahanga wa mageuzi katika sekta ya afya. inauma sana, lakini naamini tuliosalia tutafarijika kwa kuwa na aekta inayotoa huduma bora zaidi, hakuna haja ya kwenda INDIA
 
kwa hiyo ukipata jina na kuomba uchunguliwe kupata data utatoa jeneza la maziko au utachimba kaburi?

Watu wengine mnapenda kuongea pumba sasa akisema kafiwa na kusema kamuuguza kwa miezi sie akituambi kafa au hajafa unadhani inatuhusu?

Sie tunaungana nae kimawazo kumliwaza humu. Haya ukisikia watu wamekufa unataka ujue data zao ili iweje?
Unampango wa kwenda bungeni wajadili au kumuona jk?

Tena umenikumbusha wewe ndo unaweza kuwa unapanga na watu wa data hizo mnapeana majina kufanya utapeli au maafa ya kuumiza watu. Haya ngoja nipeleke taarifa utasikia wanajuta asap kikazi kwa kushiriki katika kuutoa data kutumika kiubaya.

Rip marehemu

peleka ewe kuadi wa ccm. Huna haya
 
Na mimi nimefiwa Bugando. Unaona taarifa hii imekamilika na kushawishi ukweli wake? JF tupunguze udaku tutaharibu heshima ya JF. Tuwe wadadisi kabla ya kutoa maoni.

umefiwa na nani wewe acha kuandika nonsense hapa kila sehemu una magamba.jamaa kafiwa na aunt kwa mawazo yako kamzushia kama unaona ni dili tafuta ndugu yako nawewe umzushie tuje kula ubwabwa wa maharage
 
mhh, unapofikwa na jambo kam hili unajua kwa hakika madhara ya mgomo huu!!! pole sana ndugu yetu, alikulea vizuri ndo maana uko hapa JF, Mhungu akumbuke mema aliyotenda hapa duniani!! Amina

tanzania nakupenda!
 
Yamenikuta ndugu zangu!!
Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa wagonjwa....bahat mbaya hata mochwari huduma sio nzuri!!msiba upo nyumbani na taratbu za maziko zinaendelea!!

polen sana jaman!mgomo utatuathiri sana ila kipind cha mpito!
 
Pole sana.... sie tusio wana Apollo tutakoma kila rangi tuiona mwaka huu wao wamekaa kwenye viyoyozi hawana shida wakiugua Apollo Muh2 haiwahusu kabisa, ila kila chozi la mnyonge litawahukumu siku za hukumu ya mwisho
 
Pole sana mdau, na poleni wote mlofiwa kwa MAUAJI YA MAKUSUDI yaliyofanywa na madr wakishirikiana na makuadi wao wa ndani na nje ya nchi wanaotaka nchi hii isitawalike ili watimize matakwa yao wanayoyajua.

Pia poleni wote mnaouguza ktk kipindi hiki kigumu.

Hakika subira na ustahamilivu wenu ndio ngao yenu. Hapa ndipo nchi yetu ilipofikia, kila nafsi imejaa ubatili na roho ya kupenda mali imetawala.
 
Back
Top Bottom