Nimempoteza anti yangu muhimbili jioni ya leo!!

Anaitwa nani na alilazwa wodi gani? Hujui hata jina la anti yako, huna maana unaleta umbea hapa. kamilisha taarifa ili uaminike

Naomba tusiwe na kejeli katika mambo yanayohuzunisha kama haya. Pia tunaamini mleta habari ni za ukweli kulingana na kanuni za JF. Inawezekana hakutaka kutaja jina la shangazi yake kwa sababu zake binafsi, bali alitaka kutufikishia ujumbe na kutushirikisha huzuni yake. Kwani angeleta jina la Shangazi yake ungemsaidia nini? Tuwe waungwana kiasi......
 
Haya maku.mamaye zayo yakiskia mgomo wa Appolo India ndo watastuka,
 
natamani mtu angenutafutia AK-47 na risasi kadhaa hivi niwafuate hukohuko wizarani.

Pole sana ndugu yangu.
 
Anaitwa nani na alilazwa wodi gani? Hujui hata jina la anti yako, huna maana unaleta umbea hapa. kamilisha taarifa ili uaminike

Unapomtendea mtu unyama malipo huwa ni hapa hapa duniani.Endelea kukashifu mfiwa na kumkejeli
 
Hapa Jf kuna watu wako muhimbili watatusadia kutafuta ukweli lakini pia nina jamaa Muhimbili yuko kitengo cha kutunza majina ya waliokufa naweza kufuatilia

Mkuu tutakuaminije kukupa taarifa za nduguz zetu walopoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari? je kam wewe ni miongoni mwa watawala na unataka kupoteza ushahidi? Tena namshauri aloweka hii thread kama anaushahidi wa kutosha akaishtaki serikali..
 
Yamenikuta ndugu zangu!!
Sina jinsi ya kuelezea nilivyopambana pale Muhimbili kuokoa roho ya anti wangu mlezi...nimepigana!!nimeshindwa...hali ni mbaya vilio vimetawala kila kona toka kwa wagonjwa....bahat mbaya hata mochwari huduma sio nzuri!!msiba upo nyumbani na taratbu za maziko zinaendelea!!

Pole mkuu, unasubiri nini kuishtaki serikali? tafuta law fame ikusimamie kusanya ushahidi muite jk na Pinda mahakamani wajibu mashtaka ya mauaji. Hawako serious na roho za watu wao kila kitu ni siasa tuu.
 
Na mimi nimefiwa Bugando. Unaona taarifa hii imekamilika na kushawishi ukweli wake? JF tupunguze udaku tutaharibu heshima ya JF. Tuwe wadadisi kabla ya kutoa maoni.
kadadisi kwanza viongozi tz waliowahi na wanaondelea kutibiwa na kufa nje ya nchi hii ndio uje muhimbili a.k.a kichwa ngumu.
 
Pole, kwa msiba, atakuwa ni mojawapo wa mashujaa wa nchi dhidi ya dhuluma kwa wananchi, toka kwa serikali yao wenyewe walio ichagua.
 
ukombozi unakuja kupitia Jakaya Mrisho Kikwete! Tunakushuru baba kutupa akili! Wasioelewa lengo watakulaumu! Wakati ni huu katuonesha njia!
 
jamani TAHRIR SQUARE YA MAPINDUZI YA MISRI YALIANZIA HIVIHIVI KWENYE BLOGS. TUMEAMUAJE? WABONGO NI WATU WA KUONGEA SANA HAMNA DECISIONS
 
Rest In Peace Auntie, sisi bado tuko Tanganyika tunapambana na kina Nyoni.
Sometimes tunachoka mpaka tunakufuru, tunatamani nafasi yako kuliko kuishi Tanganyika.(Tajiri anaeishi umasikini)
 
Kwa wale wenye imani ya kilokole naomba tuingie kwenye Maombi ya kumfungua mkuu wa nchi naona amefungwa na nguvu za giza.....
kwasababu sio bure kunashida hapa alipaswa kusema neno ................shetani tunakataa utendaji wako kwa kiongozi wetu ,kuu kwa jina la Yesu nakuamuru utoke na kumpa uwezo wake wa maamuzi amen.
 
Pole sana mkuu. Uchungu wa msiba utauhisi endapo utakupata mwenyewe. Ndugu zangu ongeeni kwa staha kuhusu msiba wa mwenzetu. R.I.P Aunt wa Mkono wa Paka.
 
Back
Top Bottom