sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Roho nyepesi ndo ulie hata vya uongo?...mimi roho yangu nyepesi lizzy...
ulivopewa ban wewe hujalia?
pole sana
karibu tena love
hapo mie sijaona cha kukuliza Smile manake kama umemsoma huyo baba/babu alianza kumponda mtoto wa mwanakijiji mwenzie afu akakupaiza wewe akitegemea atapata chochote kitu kutoka kwako,
hivyo ungempa tu angezidi kukumwagia misifa mpaka upasuke kichwa.
Hivi kwani huyajui maneno ya mkosaji?..
Last edited by a moderator: