Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,198
- 56,817
Cha muhimu majina yake ya kwenye affidavity yafanane na majina yake kwenye cheti chako .Nitajaribu hivyo.
Pia ungetengeneza affidavity ya Mama yako bila jina la Baba yake ingekubalika.
Maana affidavity jina linatakiwa lifanane na lilivyo kwenye cheti chako cha kuzaliwa.
Uzuri uhamiaji wanataka affidavity ya mmoja wa wazazi na si wazazi wote.