Habari wanaJF,
Mimi kero yangu nimekutana nayo kutoka kwa kaka mmoja anayepokea nyaraka za kumkatia mama yangu Bima ya afya kanishangaza sana, mwanzo aliniambia jina la mama yako haliendani na lililopo cheti cha kuzaliwa. Nikaenda RITA kwa ajili ya marekebisho, nikarudi kwake akaniambia mama yako anatakiwa awe na NIDA, nikamwambia mama hana NIDA ana Voter's ID ambayo ni moja ya kiambatanisho kilichopo hapa kwenye form yenu na most ya watu bado hawana NIDA.
Bwana yule aligoma katakata, sasa swali langu la sera hii ya Bima ya Afya kwa wote litafanikiwa kama kigezo kitakuwa NIDA?