Aliyesema ndoa ni utapeli ajengewe sanamu

Pesanyingi

JF-Expert Member
Apr 15, 2023
396
639
Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kindoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia mume sms kwamba "haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
 
Pesa nyingi umeshindwa kumgawia rafiki yako pesa kidogo.

Huyo rafiki yako akiwa na pesa basi mwambie amshauri mkewe kuliko atafute mwingine waingie makubaliano, jamaa awe anamlipa elfu 10 tu kwa kila dakika wanayotumia kwenye kula mbususu.

Akienda dakika 30 basi anaweka 300k ambayo mke ana Uhuru kamili.

Najua mwanzoni atagoma lakini akiona mzigo unakaribia 1m mke ndo atakuwa anamkumbusha kupiga show
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja Kwa moja kwenye mada.Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri...
Kama hampendi yeye anataka amga'nganie si amuache wanaume wengine sijui wako.

Je, mwanamke akiseme hivyo maanake alishapata mwingine tayari anaemzidi uwezo huyu jamaa yako
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja Kwa moja kwenye mada.Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.
Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana,nkasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Wabongo wakiwa na matatizo wanakuja na genda kuwa kuna rafiki yake badala kujisemea mwenyewe
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.

Amruhusu akaolewe huko nje ana mtu wake, au ana mapepo, halafu akiachika atasema ni single Mama anaonewa, kuna wanawake wana laana.
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Aisee
 
Kwako pakivuja usiombee wala kutaka na kwa wengine pavuje.

-Kaveli-
 
Ndoa ni ibada takatifu na humpendeza Mungu aliye juu sababu watu waliounganishwa na Mungu huwa kwa lengo maalumu nalo humtukuza Mungu.

Pia tendo la ndoa ni zawadi kwa wanandoa,licha ya kuwa njia ya kukuza uzao.kinyume chake hapo kuna kamkono ka braza shetty beby officiel pale instagram.

Hiyo ndoa inakufa kifo cha asili kama hawata demand GOD intervation asap.
 
Nje kidogo ya mada ningeshauri kitu kuhusu mapenzi love control ila sema mimi sio muandikaji sana ipo siku nitajitahidi kuandika
 
Habari za ijumaa wadau.Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu.

Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri.

Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu nliokuwa nao japo tupo mikoa miwili tofauti ila amekuwa akinishirisha mambo kadhaa juu ya mahusiano yake na mke wake.

Kufupisha story wamekuwa wakiingia kwenye migogoro ya mara Kwa mara na mke wake hususa mume anapotaka huduma ya kiondoa mke anakuwa anampa sababu ambazo haziishii.

Ila Kwa Jana amenipigia simu kunieleza ujumbe ambao mke wake amemtumia wakati akiwa safarini Sasa anaomba ushauri mimi mwenyewe nimeshindwa kumjibu lolote tangu Jana, nikasema nilete jambo hili hapa jukwaani pengine naweza kupata pa kuanzia kumshauri.

Mke wa class mate wangu huyo amemtumia muwe sms kwamba"haisi chochote kwenye mapenzi na hatamani kufanya tendo la ndoa (ni mke na mume ndoa ya kanisani) na akimsihi mume atafute mtu mwingine ibakie kulea watoto TU kwani wana watoto wawili" Nakaribisha mwenye ushauri wa kujenga atoe ushauri wake ila Kwa ambaye huna ushauri usijibu kejeli.
Huyo mwanaume ni wale wanaojinyonga wakikosa Nauli ya kwenda kwa Baba Mkwe msibani.

Vijana msikimbilie kuoa kama hamko tayari.
 
Back
Top Bottom