Nimekoma jamani! Hiki chumba ni balaa tupu

Vumilia tu my dia. Ni ukarimu tu. Amekuonea huruma ili usipoteze pesa zako kwa kukaa hotelini.
 
kwi! kwi! kwi! mbavu zangu mie!,i wish ningekuona unavyo dance,lakini pole maana binafsi panya nawaogopa sana
 
ulale ndani ya gari?!!!!......kwa sentensi yako hiyo inaonesha una haki ya kulalamika,...lakini kumbuka ungeweza kuamka na kuwakamata hao panya mmoja baada ya mwingine,kisha ukakoka moto,ukawachuna vizuri,ukamwamsha mwenyeji wako akupatie chumvi kidogo na pilipili kama atakuwa nayo..........nakuapia,ungetamani asubuhi isifike!
 
Excuse me! Huyo rafiki yako km alikusudia kukufanyia ukarimu angekupisha huko chumbani kwako na huko 'store' akalala yeye.
Kuna kazi nyengine ukikosa kupumzika vizuri at nit hazifanyiki kwa ufanisi.
Pole sn, maisha ni kujifunza, hope nawe umepata kalesson hapo
 
Mkiwa standi umemtaka akutafutie Hotel nzuri

Imefika usiku , Panya + Mbu, Unatamani kulala kwenye Gari, ??????????????

Haija kaa sawa Hiyo Tengeneza upya
 
Back
Top Bottom