Nimekoma jamani! Hiki chumba ni balaa tupu

Mkuu,ukarim mwngne huleta matatzo,kama lawama kama hiz! Kuna mawil,either urfriend knows the situation ama hajuwi,kwani nani alikuwa analala kwa hiyo rum b4u,au ndo ilikuwa store rum?kama ni hivyo bas hajafanya vema.
If ur not confortble, tafta sababu,mtell mtafanyia kaz town so itakubid uwe unawahi,ivyo u hv 2take a hotel,then a day b4 hujaondoka,yuh jus go bak there vumilia umuage vzuri na uondokee kwake,usiondoke kimya kimya,but next time ukome.pole sana lakini..u hv 2pray sana
 
Mkuu usitumie lugha kali sababu hii hali haijakukuta. Kwangu imekuwa jambo la ajabu maishani maana sijawahi kukesha kutokana na hali mbaya ya chumba. Kiafya tunashauliwa walau tulale saa sita kwa siku, je hii ya kukesha kwako unaona poa tu!

watanzania tunapenda kulala kuliko kazi. yaani usingizi wa siku moja unaona ni dili? je wewe mwanamke au mwanaume?
 
Mkuu,ukarim mwngne huleta matatzo,kama lawama kama hiz! Kuna mawil,either urfriend knows the situation ama hajuwi,kwani nani alikuwa analala kwa hiyo rum b4u,au ndo ilikuwa store rum?kama ni hivyo bas hajafanya vema.
If ur not confortble, tafta sababu,mtell mtafanyia kaz town so itakubid uwe unawahi,ivyo u hv 2take a hotel,then a day b4 hujaondoka,yuh jus go bak there vumilia umuage vzuri na uondokee kwake,usiondoke kimya kimya,but next time ukome.pole sana lakini..u hv 2pray sana
Hiki chumba inasemekana alikuwa analala kijana wa kuwasaidia kazi na aliondoka muda. Baada ya hapo kimegeuzwa stoo. Kimejaa nafaka, vyombo, madumu ya maji, mabegi ya nguo, majiko ya kupikia na maboksi maana jamaa ana vyumba viwili cha kwake, sebule na hiki hapa.
 
Sasa panya kwa nini wasiwepo? Mnaoenda bure Ndo shida, hata panya na mmbu wanalala bure, it is a cool compan.
 
Du pole bro, mimi nilivyo sensitive na wadudu wadudu ningetoka usiku nikakaa sebuleni hadi asubuhi.
 
hivi hili jukwaa linaruhusu malalamiko binafsi? Naona stori za nyumbani zinakuja humu. Hii ilifaa chitchat zaidi
NB: pole
 
Mkuu kwanza hili umepost si mahala pake hii ingefaa zaidi chit chat
Pili kitendo unachofanya si cha kiungwana hata kidogo, sitaki kusema kama mwenye nyumba ana makosa ama la, isipokuwa inamsaidia nini yeye au wewe kuja kumuanika hapa kwa jambo lile
Hivi ikitoke mkeo akajinyea kitandani unaweza kuja kuanzisha uzi hapa? kama huwezi basi ungetumia uungwana huhuo kwa huyu mtu aliye kusaidia pa kulala hata kama paya kiasi gani
Pia hiyo iwe fundisho kwako pia next time fanya mambo yako kwa kupanga na si kwenda kwa kutegemea upepo utavumia wapi, kama ulipanga kufika hotelini basi fikia hotelini na sio ukisikia tu kuna chumba cha bure basi unashoboka kuwa uta save kitu kidogo
VYA BURE VINA GHARAMA
 
Umechemsha mwenyewe mkuu, unapomwambia mtu mkarimu akutaftie hoteli hata siku moja hawezi akajiskia fresh wakati yeye ana nyumba, na ndio maana amejiskia vibaya akakwambia ukalale kwake japo deep inside pengine anaelewa kwamba wewe ni arrogant. wewe ungelitafuta hoteli kivyako tu kama ulimaanisha. Kumwambia yeye ni kama kumtega vile.
Huyo jamaa mtu fresh sana, wewe na hayo mapanya ndio maselfish.
Kama vipi mpe ukweli tu ili nekst time asipoteze muda kukukirimu mtu ambae haudeserve.
Shwaaaaa! mzembe nimepotea
 
Hiki chumba inasemekana alikuwa analala kijana wa kuwasaidia kazi na aliondoka muda. Baada ya hapo kimegeuzwa stoo. Kimejaa nafaka, vyombo, madumu ya maji, mabegi ya nguo, majiko ya kupikia na maboksi maana jamaa ana vyumba viwili cha kwake, sebule na hiki hapa.

Huyo jamaa yako ustaarabu ni 0% kabisa. Yaani rafiki akakuweke sehemu kama upo jela unatumikia kifungo!!!!!
 
Umechemsha mwenyewe mkuu, unapomwambia mtu mkarimu akutaftie hoteli hata siku moja hawezi akajiskia fresh wakati yeye ana nyumba, na ndio maana amejiskia vibaya akakwambia ukalale kwake japo deep inside pengine anaelewa kwamba wewe ni arrogant. wewe ungelitafuta hoteli kivyako tu kama ulimaanisha. Kumwambia yeye ni kama kumtega vile.
Huyo jamaa mtu fresh sana, wewe na hayo mapanya ndio maselfish.
Kama vipi mpe ukweli tu ili nekst time asipoteze muda kukukirimu mtu ambae haudeserve.
Shwaaaaa! mzembe nimepotea

Mkuu jamaa hana makosa kabisa kukubali wito wa mshikaji. Unajua kuwa unaweza ukaenda sehemu huku ukijua kuna rafiki yako hivyo ukamjuza kuwa utakuja na akutafutie hotel.

Ghafla jamaa anakuambia usiwe na mashaka kwa nini ukalale guest wakati yeye ana nyumba na sehemu ya kulala ipo. Kama binadamu huwezi kujua standard ya nyumba ila kufika unashangaa hiyo inayoitwa nyumba ni kibanda tu na hicho chumba ni hatari.

Litabakaia kuwa angalizo siku zijazo kwako lakini tayari mkenge umeshauvaa.
 
Umechemsha mwenyewe mkuu, unapomwambia mtu mkarimu akutaftie hoteli hata siku moja hawezi akajiskia fresh wakati yeye ana nyumba, na ndio maana amejiskia vibaya akakwambia ukalale kwake japo deep inside pengine anaelewa kwamba wewe ni arrogant. wewe ungelitafuta hoteli kivyako tu kama ulimaanisha. Kumwambia yeye ni kama kumtega vile.
Huyo jamaa mtu fresh sana, wewe na hayo mapanya ndio maselfish.
Kama vipi mpe ukweli tu ili nekst time asipoteze muda kukukirimu mtu ambae haudeserve.
Shwaaaaa! mzembe nimepotea

Umeongea pwenti, ukienda Arumeru nitakumiss kweli!!
 
Rafiki yako anakutoa ubitozi wako, ukirudi kwenu utakuwa umeshafuzu mafunzo ya ukomandoo
Nimekuja zangu kikazi katika mji huu jina kapuni. Baada ya kufika nikapokelewa na rafiki yangu. Tukiwa standi, nilimwambia anisaidie kutafuta hotel nzuri ya kulala na yeye akajibu nisiwe na shaka nitaenda kulala nyumbani kwake. Basi tukaenda hadi nyumbani kwake na baada ya mazungumzo akanipeleka kwenye chumba nitakacholala.

Tukatakiana usiku mwema na yeye kwenda kulala chumbani kwake. Mimi baada tu ya kuzima taa ndipo balaa lilipoanza. Chumba kimejaa panya sijawahi ona! Panya vurugu mtindo mmoja hadi wanataka kunitafuna miguu.

Zaidi ya hapo, chumba kimejaa mbu japo kuna neti lakini kelele za mbu huwezi kulala hata uwe umelewa vipi. Sasa najiuliza hivi huyu rafiki yangu amenifanyia makusudi au ni ukarimu tu maana hapa natamani niende nikalale ndani ya gari.
 
Mkuu wala sijamdhalilisha na bado nasema huo ndiyo uwezo wake lakini kumbuka hapo awali nilimwambia anitafutie hotel nzuri. Neno hotel nzuri linatosha yeye kujua ni aina gani ya chumba nilikimaanisha. Na isitoshe alikuwa na nafasi ya kunionyesha chumba mapema kabisa na kuniuliza kama kingenifaa kuliko kusubiri mpaka muda wa kulala.

Kwa mtu muungwana kamwe hawezi fanya hivyo! Yaani akuoneshe chumba alafu akuulize kama kinakufaa?? So na chakula afanye hivyo hivyo?? Dah.......kuishi kwingi aiseee!
 
Back
Top Bottom