feis buku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 2,342
- 676
wapendwa habari zenu!kichwa cha habari hapo juu chahusika, kesho 26/11/2011 saa 12 jion viwanja vya ustawi wa jamii dsm patakua na uzinduzi wa anti virus !! nimejitolea kuwalipia kiingilio wana jf woote watakaopenda kuhudhulia tamasha ilo,unachotakiwa kufanya fika kwenye eneo NImeitwa ntarudi kumalizia wapendwa.