Nimejitolea

mimi ratiba yangu ipo hivi.saa kumi kumi ntakua mzalendo pale millenium tower. saa mbili usiku ntakuwa viwanja vya posta hadi saa sita usiku. kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi ntakua maisha club. kwa hiyo fb usiumize kichwa kuhusu kunipa offer ninachotaka naomba uwe mwenyeji wangu na uwe wa kunishika mkono nisiibiwe, nataka vile vile uwe mtu wa kunielekeza jinsi ya kulala. Mia
umefika!!! kkaribuu saana mia!!! kumbe we kijana dogo akili mingii eeh!!!
 
Hakuna mtu mwenye muda wa kuja kusikiliza matusi. Nenda mwenyewe, wanaJF hawawezi kufika hata mmoja.


393544_296972670324288_100000346712374_1001259_1843524273_n.jpg


Report/Mark as Spam[h=6]Joseph Mbilinyi
TAARIFA:ANTI-VIRUS INAZIDI KUPATA MAFANIKIO,KWA MARA YA KWANZA LEO NASKIA SHOW YA WASANII WA NJE INAFANYIWA P.A NA GARI LA MATANGAZO MITAANI,TUMEDHIHIRISHA KUWA HUU MUZIKI NI ZAIDI YA KUWA NA RADIO STATION ...NATOA WITO KWA KITAA NA WANAVYUO WOTE MUWAKATAE NA MATANGAZO YAO...,NOV 26 NI VINEGA CONCERT NDANI YA USTAWI....PERIOD!!!

BIG STAGE, BIG SOUND, WITH SO MANY LIGHTS FOR THE NITE!!![/h]
 
393544_296972670324288_100000346712374_1001259_1843524273_n.jpg

Report/Mark as Spam[h=6]Joseph Mbilinyi TAARIFA:ANTI-VIRUS INAZIDI KUPATA MAFANIKIO,KWA MARA YA KWANZA LEO NASKIA SHOW YA WASANII WA NJE INAFANYIWA P.A NA GARI LA MATANGAZO MITAANI,TUMEDHIHIRISHA KUWA HUU MUZIKI NI ZAIDI YA KUWA NA RADIO STATION ...NATOA WITO KWA KITAA NA WANAVYUO WOTE MUWAKATAE NA MATANGAZO YAO...,NOV 26 NI VINEGA CONCERT NDANI YA USTAWI....PERIOD!!! BIG STAGE, BIG SOUND, WITH SO MANY LIGHTS FOR THE NITE!!![/h]
watu wenye akili duniani utawajua tu,wanataka na kutamani mapinduzi halisi ya mwanadamu!!!!cheerzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
dah! Ningekuja bi dada kwenye mwaliko wako,ila nimepigwa ngumi za macho kwenye ugomvi jana,mijicho imevimba ndio naikandakanda hapa. Nalog off
 
Hivi ni mbunge gani vile mwenye tumbo kama pipa ambaye nae ni msanii huimbaka hivi, WAPINZANI TUWACHANECHANE TUWATUPEEEE


Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!
 
Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!
Kupenda kweli kubaya, kwahiyo matusi ya huyo tumbo kipipa wewe hujayaona! na mtu alieshindwa kuendesha bendi tu ya TOT ili iweze kucompent na Twanga pepeta na Ngwasuma, mtu huyo ndio atawaweza kuwaongoza maelfu ya watu na kuwaletea maendelea?
Huyu kazi anayoimudu zaidi ni hii hapa chini.
View attachment 42132
 
Hakuna shida kama kuwa na upeo mdogo afu ukawa haujijui. Yaani kupata ubunge anadhani ndo kafika kuwa mungu mtu. Mi naona anahangaika na vya arusha, maunga ya udaga na sifa za kijinga.

Unless wawe wameelewana na ruge kufanya kibiashara na wanagawana kipato kiaina.

Basi mie ananiudhi, kwanza hata kurap hajui ila ni mtunzi mzuri Flow yake za kizamani sana utadhani anaimba ' mimi ni msela na kichwa kama pera, siwezi kula hela.....'

Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!
 
niko hapa natoa macho. hebu nipm number yako nipande hewan faster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom