Kipenda Roho................................
Huoa chotara wa Msumbiji, nimepata eeeehhhh!!!!!
Kila amwangaliae mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Ahsante mkuu, hapo sijafuata rangi, mambo 3 yamenifanyanakupongeza sana kwa hilo yaani wahindi ndugu yangu sio inshu kabisa kwanza sema bahati mbaya tu ulikuwa hapo bongo ila ungekuwa umeenda india ungejichotea kama mzoga maana wako kule kibao hawana inshu ila kwa upande wa sita kwa sita wala usingeridhika nao kama ungekuwa umeshawatumia kwa muda wetu dada zetu wa kibantu. na pale akizaa ndio kabisaaaaa ungeanza kutembea kwenye mabucha mbalimbali bora huyo mix na mreno afadhali mara mia, ila angalia usije ukawa umependa rangi ya gari kumbe engine ni CC4600 inakula mafuta kinoma uanze kulalamika think twice kaka.
kwahiyo ameamua kumuoa kwa sababu unamhurumia au ili uwe babakeAhsante mkuu, hapo sijafuata rangi, mambo 3 yamenifanya
nitake kumchukua huyo binti 1. Hana baba(hamjui)
2. Maisha yao ni magumu 3.Anavutia
mmmh, chotara?
Hongera ubadili mbegu ya ukoo.
Neh neh!
Hivi wewe kama unataka au umeoa nini huwa kinakuvuta kwa huyo mtu?GAZETI so weye umepelekwa na huruma tu kwa huyo mdada? siku familia ikiwa na kipato utamdampu? na je siku mvuto ukiisha? bt all the best ma dear bro bora weye wanao watatoka mixed grill