Nimejaribu nimeshindwa, Sasa nimeamua kuoa!

mimi nina chotara wa kifaransa.
Ila jamaa asiwe kapata mmakonde anamwita mreno
Ni Mmeto, baba yake ni mreno lakini hamfahamu kwani walikutana
mara moja tu na mama yake kisha akarudi kwao.
 
nakupongeza sana kwa hilo yaani wahindi ndugu yangu sio inshu kabisa kwanza sema bahati mbaya tu ulikuwa hapo bongo ila ungekuwa umeenda india ungejichotea kama mzoga maana wako kule kibao hawana inshu ila kwa upande wa sita kwa sita wala usingeridhika nao kama ungekuwa umeshawatumia kwa muda wetu dada zetu wa kibantu. na pale akizaa ndio kabisaaaaa ungeanza kutembea kwenye mabucha mbalimbali bora huyo mix na mreno afadhali mara mia, ila angalia usije ukawa umependa rangi ya gari kumbe engine ni CC4600 inakula mafuta kinoma uanze kulalamika think twice kaka.
 
Ahsante mkuu, hapo sijafuata rangi, mambo 3 yamenifanya
nitake kumchukua huyo binti 1. Hana baba(hamjui)
2. Maisha yao ni magumu 3.Anavutia
 
aah,kwahyo umeshndwa kupata akina Chori ki yare,njoo bombay,au bangalor wapo wa kumwaga kama una mzuka nao.Kaka zao wanatafuna dada zetu lazima reveng au vipi.Ulishakutana na Chotara la kihindi?ni balaaah,
 
GAZETI so weye umepelekwa na huruma tu kwa huyo mdada? siku familia ikiwa na kipato utamdampu? na je siku mvuto ukiisha? bt all the best ma dear bro bora weye wanao watatoka mixed grill
 
Last edited by a moderator:
Usikubali kushindwa kirahisi, bado mudaa unao ndugu kwani umeambiwa mwisho wa dunia ni kesho! Fight back.

Lakini hongera kwa huamzi wako, lakini sitegemei uzi kutoka kwako unao husu kujutia ndoa!

Nategemea uzi kutoka kwako una husu
"UTAMU WA NDOA AU UTAMU WA WASICHANA WA MSUMBIJI"
 
GAZETI so weye umepelekwa na huruma tu kwa huyo mdada? siku familia ikiwa na kipato utamdampu? na je siku mvuto ukiisha? bt all the best ma dear bro bora weye wanao watatoka mixed grill
Hivi wewe kama unataka au umeoa nini huwa kinakuvuta kwa huyo mtu?
Nikijibu swali lako, hata kama familia itapata kipato bado nitakuwa naye.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom